Ziara ya Rais Museveni Nchini Kenya: Uganda Kujenga Bandari ya Nchi Kavu Naivasha.

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
IMG_20190328_103554.jpg

Jana Mh Museveni na mwenyeji wake Mh Uhuru walifanya mkutano katika hoteli ya Sarova White Sand Hotel mjini Mombasa na kujadili mambo mbalimbali hasa kudumisha na kukomaza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara.

Katika mkutano wao Rais Museveni alikiri kwamba sekta binafsi ndiyo nguzo kuu katika maendeleo ya nchi, na kazi kuu ya serikali ni kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kufanya kazi katika mazingira mazuri.

Rais Museveni alisema serikali yake kwa sasa inajikita katika kupunguza gharama za kufanya biashara kwa kuhakikisha kuna upatikanaji wa umeme wa uhakika, kutengeneza na kuboresha miundombinu kama barabara na reli, pia kuhakikisha benki ya maendeleo ya Uganda (UDB) ina mtaji wa kutosha ili wafanyabiashara waweze kukopa kwa riba ndogo.

IMG_20190328_110205.jpg

Rais Museveni akaendelea kusema kwamba ili kuhakikisha kuna maendeleo ni lazima nchi ipanue wigo wa kibiashara mpaka nje ya nchi kwani kwa kutegemea soko la ndani tuu halitatosheleza. Kwa sababu hiyo ndio maana wanasisitiza sana kuongeza ushirikiano zaidi wa nchi za Afrika Mashariki, COMESA pamoja na Continental Free Trade Area.

IMG_20190328_110139.jpg

Rais Museveni ameishukuru serikali ya Kenya hasahasa Rais Uhuru kwa kuwezesha bidhaa za Uganda zinazopitia bandari ya Mombasa zinachukua muda mfupi kuliko kipindi cha nyuma.

Pia Rais Museveni ameishukuru serikali ya Kenya kwa kuendelea kuonesha ushirikiano wa kibiashara, baada ya mradi wa SGR na sasa wamekubali kuwapa nafasi ya kujenga bandari ya nchi kavu mjini Naivasha.

Rais Museveni pia amesema watatumia bomba la mafuta la Kisumu kwa ajili ya kusafirisha bidhaa za petroli kupitia ziwa Victoria kuliko barabara ambazo huharibika haraka kutokana na uzito wa magari.

IMG_20190328_110118.jpg
 
Asante kwa taarifa

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
M7 kwa porojo na ahadi zisizotekelezeka hua ndio mwenyewe.

Kenya ijiandae hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana m7 yupo interest kweli na SGR toka mombasa mpaka kampala ili na yy apige tena toka kampala mpaka JUBA lkn pia anataka SGR ya itakayo ishia mwanza pia kuwe na marine transport toka mwanza port to port bela in uganda via lake victoria. na tayari hii route inafanya kazi sababu WFP wanasafirisha mahindi toka Tanzania kwenda sudan kupitia hii route mpaka Uganda then toka uganada wanasafirika kwa malori to S.sudan....huwezi fanya biashara na nchi moja tu hili lazima mulielewe ndugu zetu wa 254 ambao mnafikiri 2D lkn mwenzenu M7 anafikiri 4D na yy anafikiria kufanya biashara pia
M7 is smart and intelligent
 
Subiri uone kama atatekeleza hayo boss,sijawahi kumuona M7 akitimiza wa ahadi zake.

Hapana m7 yupo interest kweli na SGR toka mombasa mpaka kampala ili na yy apige tena toka kampala mpaka JUBA lkn pia anataka SGR ya itakayo ishia mwanza pia kuwe na marine transport toka mwanza port to port bela in uganda via lake victoria ....M7 is smart and intelligent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1055893

Jana Mh Museveni na mwenyeji wake Mh Uhuru walifanya mkutano katika hoteli ya Sarova White Sand Hotel mjini Mombasa na kujadili mambo mbalimbali hasa kudumisha na kukomaza uhusiano wa kiuchumi na kibiashara.

Katika mkutano wao Rais Museveni alikiri kwamba sekta binafsi ndiyo nguzo kuu katika maendeleo ya nchi, na kazi kuu ya serikali ni kuhakikisha inaweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kufanya kazi katika mazingira mazuri.

Rais Museveni alisema serikali yake kwa sasa inajikita katika kupunguza gharama za kufanya biashara kwa kuhakikisha kuna upatikanaji wa umeme wa uhakika, kutengeneza na kuboresha miundombinu kama barabara na reli, pia kuhakikisha benki ya maendeleo ya Uganda (UDB) ina mtaji wa kutosha ili wafanyabiashara waweze kukopa kwa riba ndogo.

View attachment 1055916

Rais Museveni akaendelea kusema kwamba ili kuhakikisha kuna maendeleo ni lazima nchi ipanue wigo wa kibiashara mpaka nje ya nchi kwani kwa kutegemea soko la ndani tuu halitatosheleza. Kwa sababu hiyo ndio maana wanasisitiza sana kuongeza ushirikiano zaidi wa nchi za Afrika Mashariki, COMESA pamoja na Continental Free Trade Area.

View attachment 1055918

Rais Museveni ameishukuru serikali ya Kenya hasahasa Rais Uhuru kwa kuwezesha bidhaa za Uganda zinazopitia bandari ya Mombasa zinachukua muda mfupi kuliko kipindi cha nyuma.

Pia Rais Museveni ameishukuru serikali ya Kenya kwa kuendelea kuonesha ushirikiano wa kibiashara, baada ya mradi wa SGR na sasa wamekubali kuwapa nafasi ya kujenga bandari ya nchi kavu mjini Naivasha.

Rais Museveni pia amesema watatumia bomba la mafuta la Kisumu kwa ajili ya kusafirisha bidhaa za petroli kupitia ziwa Victoria kuliko barabara ambazo huharibika haraka kutokana na uzito wa magari.

View attachment 1055924
Vivaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aache kujenga Kampala aje ajenge Naivasha! Why would he prefer Uganda's goods to stop by somewhere in Kenya? I would take him serious if it was Malaba-Kampala SGR. Endeleeni kulishwa matango pori!
 
Hapana m7 yupo interest kweli na SGR toka mombasa mpaka kampala ili na yy apige tena toka kampala mpaka JUBA lkn pia anataka SGR ya itakayo ishia mwanza pia kuwe na marine transport toka mwanza port to port bela in uganda via lake victoria. na tayari hii route inafanya kazi sababu WFP wanasafirisha mahindi toka Tanzania kwenda sudan kupitia hii route mpaka Uganda then toka uganada wanasafirika kwa malori to S.sudan....huwezi fanya biashara na nchi moja tu hili lazima mulielewe ndugu zetu wa 254 ambao mnafikiri 2D lkn mwenzenu M7 anafikiri 4D na yy anafikiria kufanya biashara pia
M7 is smart and intelligent

Yaani wewe hapo eti unatupa darasa kuhusu soko la Uganda, hehehe!! Haya unayoyasema yalijulikana tangu enzi za mababu hivyo hamna jipya, sisi tumekomalia kuhakikisha soko la Uganda na pia kaskazini na kanda ziwa mwa Tanzania zinapataa unafuu kwa kutumia bandari yetu, tupo tunaboresha kila siku.
 
Aache kujenga Kampala aje ajenge Naivasha! Why would he prefer Uganda's goods to stop by somewhere in Kenya? I would take him serious if it was Malaba-Kampala SGR. Endeleeni kulishwa matango pori!
Tukimpelekea mizigo mpaka Malaba, itamaanisha KenyaRailways ndo itapokea pesa yote ya usafirishaji almost 950km, na Uganda railways itakua inapokea pesa ya kusafirisha only 250km kutoka Malaba hadi Kampala...
Lakini M7 akijenga ICD yake hapo Naivasha inamaanisha atakua anaweza ku control storage fees na pia kusafirisha mzigo kutoka Naivasha hadi Malaba hio pesa itakua inaenda kwa SGR-Uganda meaning more revenue for SGR-Uganda

Also usisahau M7 ana mizigo yake ambayo atakua analeta Kenya na itakua ni rahisi aki gharamika hio cost ya kuileta Kenya na SGR-Uganda kuliko kuifikisha kwa border hapo malaba alafu SGR kenya ndo imbebee mizigo yake kwa bei tofauti.

Ni kama vile sahiii, malori ya Uganda husafiri hadi Mombasa kubeba mizigo..... Malori ya Kenya yakipeleka mizigo hadi Uganda hua yanaitisha pesa zaidi
 
Aache kujenga Kampala aje ajenge Naivasha! Why would he prefer Uganda's goods to stop by somewhere in Kenya? I would take him serious if it was Malaba-Kampala SGR. Endeleeni kulishwa matango pori!
Bridge-linking-Mombasa-Port-to-Mombasa-SGR-terminus-ready.jpg
goods bound to Uganda and the hinterlands Will be offloaded directly to the waiting cargo train thus reducing congestion at the Port .This cuts cost and time . Making Mombasa port more efficient for Ugandan importers especially if their ICD is built at naivasha.
 
View attachment 1056364goods bound to Uganda and the hinterlands Will be offloaded directly to the waiting cargo train thus reducing congestion at the Port .This cuts cost and time . Making Mombasa port more efficient for Ugandan importers especially if their ICD is built at naivasha.
I realised M7 is playing UK a fool ! May be because the guy is drunkard!
 
Aache kujenga Kampala aje ajenge Naivasha! Why would he prefer Uganda's goods to stop by somewhere in Kenya? I would take him serious if it was Malaba-Kampala SGR. Endeleeni kulishwa matango pori!

Tihahahhaaaaa. . Sasa umejua Pipeline haiji tena Tangagiza
 
I realised M7 is playing UK a fool ! May be because the guy is drunkard!
This deal is 10 times more logical than when Magu-Fool was played by Ethiopia when you gave them Land to build a dry port in Tanga (or was it Dar?) for them to use for cargo transportation.
 
Back
Top Bottom