Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Nimefuatilia ziara ya Mh Rais Samia katika mkoa wa morogoro kwa umakini hii ziara imefana na hii ni kutokana na hulka ya rais samia kutokuwa mtu wa makeke na kuharas watumishi wa uma ambao kwa hapo morogoro wanamuunga mkono sana.
Rai yangu kwa Chadema rais akindoka njooni Morogoro. Lissu aje Morogoro hasa maeneo ya vijijini akianzia kule Morogoro dc ambapo CCM hawajafanya kazi ya kutosha hasa barabara ya Bigwa - Kisaki.
Wananchi wa kule wanachukizwa na hii barabara na wanaona ccm ndio chanzo hivyo nawasihi chadema chama changu waende morogoro na waanzie vijijini.