ccm bado ina nguvu nchi yote hii kasoro miji michache na humu Jf.Morogoro ni kati ya mikoa michache tanzania ambapo ccm bado ina nguvu.
ππππ humu JF wengi maisha magumu ndo mana hawaipendi CCMccm bado ina nguvu nchi yote hii kasoro miji michache na humu Jf.
Nimefuatilia ziara ya Mh Rais Samia katika mkoa wa morogoro kwa umakini hii ziara imefana na hii ni kutokana na hulka ya rais samia kutokuwa mtu wa makeke na kuharas watumishi wa uma ambao kwa hapo morogoro wanamuunga mkono sana.
Rai yangu kwa Chadema rais akindoka njooni Morogoro. Lissu aje Morogoro hasa maeneo ya vijijini akianzia kule Morogoro dc ambapo CCM hawajafanya kazi ya kutosha hasa barabara ya Bigwa - Kisaki.
Wananchi wa kule wanachukizwa na hii barabara na wanaona ccm ndio chanzo hivyo nawasihi chadema chama changu waende morogoro na waanzie vijijini.
ACTIALLY SIO MIKOA MICHACHE, NI MIKOA MINGI CCM INA NGUVU SANAMorogoro ni kati ya mikoa michache tanzania ambapo ccm bado ina nguvu.
Wanaudugu wa damu kama nyanya na kitunguuWaluguru na ccm sawa na nnzi na usaha...
Hawapendi kubadilika kutokana na ubishi wao na kukosa Elimu ya uraia!Hao
Wanaudugu wa damu kama nyanya na kitunguu