Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

Ziara ya Rais Traole wa Burkina Faso italeta kichocheo kwa Watanzania cha kuchukia utawala wa kifisadi unaogawa rasilimali za Taifa kwa wageni?

Inabidi traole amshauri mama kizimkazi apende uzalendo kwanza.Aache kutumika na mabeberu Kwa kuuza hovyo Mali za Tanganyika .
 
Aije akaja na kile kibastola chake wale wadada wa PSU watampiga bonge la tikitaka
 
View attachment 3212449

Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.

Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
UZALENDO MUHIMU
Hata waliopo hawapendi
Wanapambana kutokomeza Rushwa na Ufisadi
 
Anayesema yupo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha kuwa yupo.

Polisi akija kwako na kusema kwako kuna madawa ya kukevya, yeye anayesema kuna madawa ya kulevya ndiye anayetakiwa kuthibitisha yapo, hatakiwi kukuambia wewe unayesema hayapo uthibitishe hayapo.

Hujathibitisha Mungu yupo.
nimekwambia yupo kwa sababu hata hiyo hewa oxygen unayovuta ni ya kwake, kama wewe unabisha ndo useme oxygen ni ya nani.
 
nimekwambia yupo kwa sababu hata hiyo hewa oxygen unayovuta ni ya kwake, kama wewe unabisha ndo useme oxygen ni ya nani.
This logical fallacy is called non sequitur.

Thibitisha yupo, halafu thibitisha oxygen ni yake.

Kabla hujathibitisha yupo, usirukie kudai oxygen ni yake.
 
This logical fallacy is called non sequitur.

Thibitisha yupo, halafu thibitisha oxygen ni yake.

Kabla hujathibitisha yupo, usirukie kudai oxygen ni yake.
Naona unawapa za uso. Kwa kifupi hakuna ushahidi
 
kwa mtu aliyeuza nchi kwa waarabu, anapaswa kuona aibu hata kuangaliana usoni na huyo jamaa
 
Back
Top Bottom