Unataka uthibitisho gani?thibitisha kama TRAORE ni mchawi!
Uchawi haupo, ila imani ya kuamini uchawi ipo.Uchawi haupo.. according to kiranga. Imekuwaje leo
Anasema atawapiga wazungu kwa uchawi.Duuuh
wowote, hasa hasa wa nadharia.Unataka uthibitisho gani?
Yesu ni bonge moja la story ambayo haitakaa itokee. Ila ukihoji anarudi lini unaambiwa hatujui siku wala saaYani ziara ya siku 1 izindue akili zillizolala karne zote hizo? Anakuja kama yesu tuliyeambiwaga?
Anzia hapa kwanza.wowote, hasa hasa wa nadharia.
UZALENDO MUHIMUView attachment 3212449
Kuna watu maarufu ambao wamewahi kutembelea Tanzania, na kwa namna moja au nyingine kuwa chachu ya mwamko wa kisiasa nchini. Tumetembelewa na watu kama Fidel Castro, Che Guevara, Nelson Mandela, nk. Hata kama hawakuongea mengi wakiwa nchini, kuwapo kwao nchini kulileta hamasa na mwamko fulani ndani ya mioyo ya Watanzania juu ya kuwa na utawala wa haki na kuchukia utawala wa kifisadi usiojali kupoteza rasilimali za taifa na kuiweka nchi katika ukoloni mamboleo, mambo waliyoyapinga vikali.
Tanzania kwa sasa inazidi kuwa kinara wa utawala wa kifisadi unaokumbatia wageni na kuwajali zaidi ya wananchi katika nchi yao wenyewe. Sasa je, ziara ya Captain Ibrahimu Traole hapa Tanzania, italeta mwamko na msisimko wa kukataa utawala wa namna hiyo kwa Watanzania, kutia ndani na ndugu zetu wa JWTZ?
nimekwambia yupo kwa sababu hata hiyo hewa oxygen unayovuta ni ya kwake, kama wewe unabisha ndo useme oxygen ni ya nani.Anayesema yupo ndiye ana mzigo wa kuthibitisha kuwa yupo.
Polisi akija kwako na kusema kwako kuna madawa ya kukevya, yeye anayesema kuna madawa ya kulevya ndiye anayetakiwa kuthibitisha yapo, hatakiwi kukuambia wewe unayesema hayapo uthibitishe hayapo.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Unaishi wap?Mgeni gani aliyegawiwa Rasilimali za Taifa?
This logical fallacy is called non sequitur.nimekwambia yupo kwa sababu hata hiyo hewa oxygen unayovuta ni ya kwake, kama wewe unabisha ndo useme oxygen ni ya nani.
Naona unawapa za uso. Kwa kifupi hakuna ushahidiThis logical fallacy is called non sequitur.
Thibitisha yupo, halafu thibitisha oxygen ni yake.
Kabla hujathibitisha yupo, usirukie kudai oxygen ni yake.
Wanakwenda kwa imani tu, halafu wanafikiri imani ni ushahidi na uthibitisho.Naona unawapa za uso. Kwa kifupi hakuna ushahidi
Aalikwe na Namba 1 harafu tukimbie? 😄😄Siku Traore anakuja Tanganyika, ChoiceVariable na kaka ake Lucas Mwashambwa watajificha uvunguni kwa kuhofia kushughulikiwa
DP world , OBCMgeni gani aliyegawiwa Rasilimali za Taifa?
Alimroga nani?Traore mwenyewe mchawi tu.