Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He he he. Ati that's where the 'national issues' are ironed out?Is it? May be to iron out differences. Oh safi sana.
Kikwete apigiwe 21 kule kwan museven tangu aijue tz kapigiwa 21 lini
Tz mna ikulu c vako...... MaMP wanaingia wanalala tu
Hili hapa la Kenya
![]()
Bunge la Tanzania lipo comfortable sana hadi wabunge huwa wanachapa usingizi kiasi kwamba hukurupuka na kuitika "Ndiooo!!" inapofikia kwenye maamuzi, kisha wanarejelea usingizi. Hebu cheki huyu hapa ambaye alikua ametangaza nia kuwa rais wa Tanzania. Akina MOTOCHINI watakubishia kwamba ndio bunge bora Afrika.
![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe MK254 Unakejeli na chuki za kitoto kwamtu mwenye kutumia akili hapo atagundua huwa unapenda kejeli lakini huna weledi, kitugani kimekufanya uweke pichanyingi unaharibu maudhui, picha1-3 na hiyo ya kikao cha wana ccm!Bunge la tz huruhusiwi kuvaa sale za vyamavyenuBunge la Tanzania lipo comfortable sana hadi wabunge huwa wanachapa usingizi kiasi kwamba hukurupuka na kuitika "Ndiooo!!" inapofikia kwenye maamuzi, kisha wanarejelea usingizi. Hebu cheki huyu hapa ambaye alikua ametangaza nia kuwa rais wa Tanzania. Akina MOTOCHINI watakubishia kwamba ndio bunge bora Afrika.![]()
![]()
![]()
![]()
Wewe MK254 Unakejeli na chuki za kitoto kwamtu mwenye kutumia akili hapo atagundua huwa unapenda kejeli lakini huna weledi, kitugani kimekufanya uweke pichanyingi unaharibu maudhui, picha1-3 na hiyo ya kikao cha wana ccm!Bunge la tz huruhusiwi kuvaa sale za vyamavyenu
Ona sasa! yaani unahama kutoka hili unakwenda jingine kabisa, balozi wa china na ccm wanajuana sasa nshu ni bunge lakini kwakuwa umo hum jf mudamrefu na picha hiyo ilikuwa gumzo hum umeona utafutepakutokea vitukokweliHehehe!! lakini mnaruhusu hata balozi wa China anavaa sare za CCM![]()