Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mji mdogo wa Masumbwe Mbogwe

Joined
Apr 6, 2019
Posts
19
Reaction score
11
Katika ziara ya Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo tarehe 27 January 2021 katika uzinduzi wa Kituo cha afya cha Masumbwe, Mh. Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ndg. Nikodemas Maganga ameweka wazi Mambo yanayofanyika Mbogwe.

Mh. Rais amewapongeza wananchi wa Mbogwe kwa kuwachagua viongozi wa CCM. Kubwa zaidi wananchi wa Masumbwe wamefurahia ujio wa Rais. Maana alipokuja usiku wa kuamkia leo mengi yamefanyika ikiwa ni pamoja na kumwaga lami barabara ya mang'ombe darafuma usiku pia Kituo cha afya kufungwa neti mpya usiku.

Watu wanashangilia kumekucha Masumbwe na zaidi ameagiza barabara ya kuja Kituo cha afya yenye urefu wa km 1.2 ijengwe kiwango cha lami. Na mengine mengi.
 
Back
Top Bottom