Ziara ya siku 4 ya Mwenyekiti wa CUF Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba huko Pemba imeleta hamasa kubwa na kupokea zaidi ya wanachama wapya 723

CUF Habari

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2019
Posts
239
Reaction score
234


ZIARA YA SIKU NNE (4) YA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA MHE. PROF. IBRAHIM LIPUMBA HUKO PEMBA IMELETA HAMASA KUBWA NA KUPOKEA ZAIDI YA WANACHAMA WAPYA 723.

Ziara hiyo imekijengea Chama Heshima Kubwa kwa kukiwezesha Kurejesha Ngome yake huko Pemba na kukiwezesha Chama kuwarudishia Hamasa wanachama wake pamoja na kupokea wanachama zaidi ya 723 waliokabidhiwa Kadi za CUF-Chama Cha Wananchi, idadi hiyo ikijumuisha waliokuwa wanachama wa ACT-Wazalendo 604 waliorudisha Kadi za Chama hicho na kuamua kurejea CUF-Chama Cha Wananchi.

Wengi wao walidhihirisha kujutia Maamuzi yao waliyoyafanya bila kutafakari ya kufuata Maalim Seif aliyewadanganya muda mrefu. Matawi mapya kadhaa yalizinduliwa kwenye Ziara hiyo muhimu.
 
Tuwekeeni kapicha ka hao wana chama wapya tafadhali kama wenzetu cdm walivyo tuwekea picha ya kadi za nccr zikirudishwa cdm. CUF Habari,
 
Reactions: PNC
CUF inapokea wanachama wapya kutoka ACT! Kweli siasa burudani. Upinzani oyeeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…