Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Niliandika sehemu humu na nitautafuta huo uzi mwisho wa siku nikatukanwa kuwa mimi Camel Oil nikasema dua likubaliwe niwe Camel oil. nilisema bei haitashuka wala ...
Mbona bei kwenye soko la dunia inazidi kushuka lakini Tz inapanda?Niliandika sehemu humu na nitautafuta huo uzi mwisho wa siku nikatukanwa kuwa mimi Camel Oil nikasema dua likubaliwe niwe Camel oil. nilisema bei haitashuka wala hakuna kitu kama hicho na leo maneno yangu yametimia. Bei haipangwi tu hata nyanya sokoni bei hazifanani ni demand and supply. TPDC walijichanganya ku tender bei ndogo imekula kwao hakuna kushuka wala nini mafuta yanaamuliwa bei huko soko la dunia kwa mahitaji hayatolewi kisiasa tutakupa bei hii. Serikali badilishe mfumo wa kuagiza mafuta ilete ushindani.
Ficha ujinga wako. Jibu hoja kwani makamba hakutangaza bei ya mafuta kushuka mwezi 12?Makamba anasakamwa sana na kundi lililoondolewa hasa yule mbunge wa kule kwa jiwe
Huyu hafai alianza kuongoza kwa style ya kipumbavu ya kulaumu watangulizi wake. Na bado naomba aendelee kufeli maana malipo hapahapa dunianiMakamba anasakamwa sana na kundi lililoondolewa hasa yule mbunge wa kule kwa jiwe
That Guy is useless hata mumpake vipi Icing sugar! Tunataka matokeo sio kutiana moyo kwa kijinga! Fanya mambo yaonekanae kisha kaa kimya!Makamba anasakamwa sana na kundi lililoondolewa hasa yule mbunge wa kule kwa jiwe
Atleast now imeeleweka kwamba chuki dhidi ya Magufuli zilikuwa upumbavu if you ain’t in the power circle!Ficha ujinga wako. Jibu hoja kwani makamba hakutangaza bei ya mafuta kushuka mwezi 12? Hakusema ziara yake nchi za emirates na Algeria zitaondoa middlemen katika uagizaji mafuta?
Acha siasa kwenye maisha ya watu ya watanzania. This government is failing kama haitaregulate mfumuko huu wa bei za vitu. Wanasiasa wao wanaogelea kwenye michongo yao huku wakiyafanya maisha ya watanzania kuwa magumu.
You are right. Yule ni kasha tu.Ni kijana aliyewahishwa kujua makubwa kabla hajapevuka kwa hio anakosa natural intelligence na ndiomaana huoni akili zenye kuakisi Umakamba katika uongozi, Yule shemeji yake Mzungu alimaliza maelezo yote, vijana wengi waaminio ni wateule na wenye ccm akili zero, Makamba Urais ndio basi na Upm ndio basi, aendelee kuchuma kwa maisha mengine.
Kawekwa pale kama mwana wa mwanakikundi iko hivo tu. Ni mtazamo tu.
Na wana mpango wa kuhold bei hivyo hivyo mpaka February 😅 ili kule ikipanda waendelee nayo 😂!Mbona bei kwenye soko la dunia inazidi kushuka lakini Tz inapanda?