Ziara ya Waziri Makamba nchi zinazozalisha mafuta haijaleta tija kama alivyotangaza

Jamaa wamekikamata chama haku kitu kitatokea ni mwendo wa manyanyaso mpaka mwisho
 
Mbona bei kwenye soko la dunia inazidi kushuka lakini Tz inapanda?
Bei haishuki angalia trend bei zilikuwa chini wakati wa corona je uliona diesel imeshuka chini ya 2000? leo brent karibia 70$ pipa wakati wa corona ilifika 35$ na wametoa forecast mafuta 2022 yatafika 120$ na 2023 150$.
 
Jamaa wamekikamata chama haku kitu kitatokea ni mwendo wa manyanyaso mpaka mwisho
Tanzania tumeingia kwenye mikono ya mama wa kambo😅 yani kipigo tu kuanzia kwa mama mpaka kaka wa kambo bwana February Marope wanatunyoosha😅
 
Bei haishuki angalia trend bei zilikuwa chini wakati wa corona je uliona diesel imeshuka chini ya 2000? leo brent karibia 70$ pipa wakati wa corona ilifika 35$ na wametoa forecast mafuta 2022 yatafika 120$ na 2023 150$.
Kadanganye wajinga wenzako
 
Nyie misukule ya magufuli mna chuki sana Makamba jr
 
Kadanganye wajinga wenzako
Samahani inawezekana kweli nikawa mjinga labda sikusikia vizuri kuwa Ewura wamashusha bei. Kuwa mjinga ni afadhali ya kuwa mpumbavu.
 
Vyote anavyo dingi ako
A report written by Christyan Malek, J.P. Morgan's head of oil and gas research, said the price of oil could go up to $125 next year. The J.P. Morgan analysis was published on Nov. 29 and is predicting crude prices will average $88 per barrel in 2022 before “overshooting” to the $125 price point.2 days ago

Kama lugha inakupa shida tafuta mtu akusomee kwa lugha yako
 
Vyote anavyo dingi ako
Baba yako mimi namuheshimu na siwezi kumtukana maana hana kosa lolote wewe toa data tu na facts kama unazo hapa ni hoja tu matusi hayana nafasi. ukiona mtu anakimbilia mawe ujuwe anaelekea kushindwa
 
Kwa hiyo yanapanda Tz pekee ila Kenya, Uganda, Zambia, Zanzibar n.k ambako wanapitia bandari ya Dar wao wanachukulia mbinguni? achana na mawazo ya kujinga eti lugha hujui hata kama kuna google translate mpuuzi wewe
 
Baba yako mimi namuheshimu na siwezi kumtukana maana hana kosa lolote wewe toa data tu na facts kama unazo hapa ni hoja tu matusi hayana nafasi. ukiona mtu anakimbilia mawe ujuwe anaelekea kushindwa
Ulichoandika ni point?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…