Ziara ya Waziri Mkuu Mji wa Serikali Mtumba-Dodoma leo Januari 22, 2026

Ziara ya Waziri Mkuu Mji wa Serikali Mtumba-Dodoma leo Januari 22, 2026

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mji wa Serikali, Mtumba–Dodoma, siku ya Alhamisi, Januari 22, 2026, kuanzia saa 3 asubuhi, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya serikali.

1769071724061.png
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi katika Mji wa Serikali, Mtumba–Dodoma, siku ya Alhamisi, Januari 22, 2026, kuanzia saa 3 asubuhi, kwa lengo la kukagua maendeleo ya utekelezaji wa miradi ya serikali
Huyu ni katika wale mapunguani.....Aliua watu wakati akiwa waziri wa mambo ya ndani, na sasa amepewa zawadi ya uwaziri mkuu.
 
Back
Top Bottom