MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Sasa kama Drogba na Rio hawapost chochote kuhusu ziara zao Tanzania kwenye kurasa zao kwenye mitandao ya kijamii si ni sawa na wale wanawake wanaokula hela za majamaa huku utamu hawatoi? Hizi ziara sio sawa kabisa. Siziungi mkono.
Pia msemaji wetu kusema kuwa majamaa ni marafiki wa waziri kuwa nchi haijagharamika chochote ni uongo mtupu. Yaani professional footballer kama Drogba abebeshwe begi la bajeti bure pale Dodoma kwa ajili ya show off za waziri?
Soma Pia: Baada ya Drogba, Makonda amualika Nahodha zamani wa Manchester United Rio Ferdinand kuja Tanzania
Halafu kusema Rio na timu yake ni washkaji wa waziri ni kitu ambacho hata marehemu bibi yangu asingeweza kukubaliana nacho.
Ninamsihi mama awatazame hawa watu wawili kwa jicho la karibu kwa sababu kinachofanyika hakina tofauti na yule mama wa kifaransa aliyeshangaa kwanini watu wasile keki kama hawana mikate. Hili jambo la kuwaleta kina Rio ambao hata hawaonyeshi kuguswa na kuletwa kwao Tanzania sio sawa. Ni matumizi mabaya ya kodi.