Wanasiasa wote hususan viongozi wanapoanza kuwashughulikia wenzao huwa wanawafanyia jambo kubwa la kuwakera halafu wanaenda kufanya ziara kwenye maeneo yao ili kupima msuli wao dhidi yao.
Ni kama vile mtu ampige mkeo kibao halafu anakuja kwako kuona wewe na wanao mtafanyaje. Kwa wanasiasa wajanja huwa wanahakikisha wanajenga ngome kwao ili ukimgusa usiweze kufika kwao.
Alifanya Chacha Wangwe, mtikila akatandikwa mawe, akafanya Zitto Kabwe Kigoma Chadema wakashindwa kumfukuza na walipomfukuza wakapoteza majimbo yote Kigoma.
Mama ameamua kujipima mzani na Majaliwa baada ya kumpa Naibu Waziri Mkuu. Anataka kuona Msuli wa Majaliwa huko kusini. Akigundua ni mwepesi fasta anamla kichwa