Ziara za Rais Samia nje ya nchi zachochea kuongezeka kwa miradi ya maendeleo nchini

Ziara za Rais Samia nje ya nchi zachochea kuongezeka kwa miradi ya maendeleo nchini

Rashda Zunde

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2022
Posts
204
Reaction score
231
Akihutubia wakati wa maonesho ya Dubai Expo 2020 mjini Dubai, tarehe 26 Februari 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliwakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara nchini.

Matokeo
Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimefanikiwa kusajili jumla ya miradi 575 ambayo ilikadiriwa kuwekeza kiasi cha mtaji wa Dola za Marekani bilioni 8,642.75 na kutoa jumla ya ajira 87,187.

👉Miradi ya nje- 235
👉Miradi ya ndani- 187
👉Miradi ya ubia- 157
 
Back
Top Bottom