Zidane atajiondoa Madrid akibishana na Boss atafukuzwa

mwekundu

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
21,859
Reaction score
19,736
Real Madrid policy zao ni za kikampuni wao wanahitaji ku deliver no matter how much you spend

Hamna asietambua kua sasa hivi Madrid despite mataji yote waliyochukua mwaka 2016-17 na hadi mwisho wa 2017 na kuweza kuvunja record ya kuchukua UCL mara mbili mfululizo tangu uanzishwe mfumo mpya1992

Team ina tatizo tena kubwa sana la ufundi (technical problem) imefika kipindi Zizzou hajui tatizo ni nini kwa sababu wachezaji ni wale wale na mifumo yake ya kizamani ni ile ile ,simply hapa maana yake Kocha ndio una tatizo despite the aging ya kikosi chake inayo face

Tatizo linawapa wakati mgumu Papa Perez na top management wakimtimua wataonekana hawana shukrani na wakimuacha kuna hatari akaharibu legacy ya Madrid wanagombea nafasi ya 4 Laliga na bado imekua ngumu kuipata so inawezekana kabisa Madrid next season isicheze [emoji23][emoji23](sio mimi ni namba)

Sasa je wamfukuze mtu ambaye amewaletea heshima ila hakufanya usajili?au wamuache jahazi liendelee kuzama eti kwa sababu tu amewaletea heshima?

Katika situation kama hiyo upo iwezekano mkubwa sana managememt wakafumba macho kwani ilikuaje kwa Carlos Ancelloti? (Madrid walikaa miaka 10 hawajapata Uefa akavunja laana za kutimuliwa Vicente del Bosco 2004 ,kalichukua next season kwa sababu ya performance mbaya akafukuzwa,au mmesahau Rafael Banitez?alifukuzwa katikati ya season

Au heshima yote ambayo aliwajengea Madrid miaka ya 2001-2004 (Golden team ya Vicent Del Bosco mbona alifukuzwa?
Ni suala la muda tu

Je imewahi kutokea Madrid na Barca wakatengeneza gap la point 18?
Siku za Zidane pamoja na mafanikio yote zinahesabika ili falsafa ya team itimie [emoji23][emoji23]
 
Ninachojua ni kwamba madrid kanichania mkeka leo[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Una roho ngumu kweli,na poor performance yote hii ya Madrid still umemuweka kwenye mkeka?!
 
Reactions: PNC
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Madrid nadhani kinachowakuta sasa hivi hadi wasiperform ni Fatique..

Walitumia energy kubwa ktk kupigania trophies walizonazo so wanajikuta timu ni ile ile ila poor perfomance..Wachezaji hawana molary..

Kitu hiko kiliwakumba Barca ile ya Enrique iliyobeba Ucl...La Liga..Copa na Club bingwa dunia..msimu uliofata Barca hawakuperfom vema wachezaji walikuwa na fatique japo RM imezidi maana kila game wanazidi kuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…