Zidane atajiondoa Madrid akibishana na Boss atafukuzwa

Conte tayari kashaanza kupigiwa debe na media ambazo zinanguvu kubwa. Ila uongozi umeshamchoka na wanachosubiri ni kipigo toka PSG wapate sababu za kumtimua.

Huyu atakuwepo mpaka mid february ndio taonyeshwa mlango wa kutokea.
 
Conte tayari kashaanza kupigiwa debe na media ambazo zinanguvu kubwa. Ila uongozi umeshamchoka na wanachosubiri ni kipigo toka PSG wapate sababu za kumtimua.

Huyu atakuwepo mpaka mid february ndio taonyeshwa mlango wa kutokea.
Usahihi Conte ZIDANE

Au. PSG __Barcelona
 
Mimi mfuatiliaji sana wa taarifa za real na nina mambo niliyoyaona ni tatizo kwa zidane ,ambayo yatamuondoa pale.
Madrid ni moja ya team tajiri kabisa na ni team ambayo ilichaguliwa kuwa team ya karne kwa karne ya 20 mwaka 2000.
Moja ya chanzo cha mapato ni matangazo ambayo yana changiwa na uwepo wa wachezaji wenye majina makubwa na mvuto duniani.Sera ya zidane imekuja kubadili upepo akiamini kwa vijana na kujenga team balance upande wa majina.lakini kasahau yeye pia alikuwa sehemu ya galactic . amelewa mafanikio na kuona wachezaji wale wale wanaweza endelea kumpa mafanikio, tujiulize ipo wapi replacemenr ya morata kama no 9, amebaki kulinda benzema pamoja na poor perfomance yake.
Perez ana ndoto za kumnunua Naymar ili aje atake over kama icon ya team hasa kwa kuwa cr7 umri unaelekea jioni lakini pia amekuwa na sitaki nataka nyingi, zidane hamtaki naymar akidai pesa nyingi atazolipwa zitachafua dressing room. anamtaka hard ambaye huwezi kumuweka level moja na naymar kama brand inayouza, sasa hapo ndo bwenyenye perez atakapoamua kufanya lake maana yeye ndo mwenye kujua mahesabu ya club yanataka nini.
so sidhani kama zidane ana maisha marefu santiago.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…