Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Xavi wasnt better than Zizou,ubora unaonekana hata ukihama timu moja kwenda timu nyingine.Xavi ameenda timu ipi nyingine akaproove bado ni bora?Diego folan kuna Man U alichemsha.Angalia Claude makelele hata alipohama Real kwenda Chelsea alifanya kazi yake ile ile.Zizou was the best!
 
Comparison ya Kipuuzi iyo
 
Hapo naona unataka kutumia usemi wa numbers dont lie ila umesahau kuweka namba za tuzo hapo,lkn kuna mahali namba zibaki kuwa namba tu ili uhalisia uchukue nafasi yake

Zizu yupo kwenye daraja ambalo Xavi hagusi,Zizu ni mchezaji kama Messi ambaye anavutia kila mtu anavyocheza awapo uwanjani,Zizu ni kama Ronaldinho ambaye huperfom kwa kiwango cha juu ktk kila game,Zizu ni kama Christian Ronaldo ambaye tuzo pia hazikumwacha nyuma,na kwa sasa Zizu ni kama Sir Alex Ferguson ambaye kushinda vikombe ni kama ibada
 

Exactly my point, pia impact anayosababisha mtu kwa fans, followers ni kubwa zaidi, Zizzou ka-inspire wengi kuupenda mpira, hata ambao siyo washabiki wa mpira wanamjua Zizzou, Xavi ni mpaka uwe mshabiki kumfahamu.
 
Ulianza kuongea vizuri Ila ulipo anza kumlinganisha Na MESSI hapo ndo umepotea kabisa, Zizou hajafikia hata robo ya MeSSi
 
Mmmh,Embu niambie vitu gani Xavi kafanya akiwa uwanjani ambavyo Zizou hajafanya, Ila kuna vitu kibao ambavyo Zizou kafanya tena kwenye biggest games ambavyo Xavi can only dream,Zidane was Magical bwana
 
swala la kuhama/kutokuhama ni pointless.Wangapi wamehama hama na hakuna kitu na wangapi wamebaki na timu moja na uwezo wao ulikuwa unakubalika dunia nzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…