Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

Zidane au Xavi, nani alikuwa bora?

NUMBERS DONT LIE

ZIDANE
GAMES:820
GOALS 103
ASSISTS 92
TROPHIES 11

XAVI HERNANDEZ
GAMES 767
GOALS 108
ASSISTS 204
TROPHIES 28

#IN THEIR PEAK XAVI WAS BETTER THAN ZIZOU....!!!

unataka namba?

-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)

UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia

-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu

-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu

-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe

1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali

2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro

3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup

4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.

kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea.

sasa jiulize mkuu ana magoli machache ila kwanini muhimu sana? siku madrid wakimfunga sijui getafe goli 9 wala zidane hatafunga matano, zidane anakuja kufunga ile mechi ngumu kabisa mechi ambayo mbinu zote zimeshindikana na kila mchezaji kakamatwa ndio zidane utamuona.

jamaa alikuwa hategemei mfumo wa timu, yeye ndio mfumo na ile chenga yake (ya michael laudrup) alikuwa akizichachafya midfield bora duniani, nenda youtube kaangalie france 1 brazil 0 world cup 2006 utajua zidane ni nani, midfield ya dunia kina dinho wapo form walikuwa wakiutafuta mpira.

xavi yeye alikuwa mtegemeaji mfumo, wafunge kina messi, siku barca kashinda 6 basi na yeye atupie mbili, siku mou au chelsea wakipaki basi na yeye haonekani, siku getafe wakikomaa na yeye haonekani, siku rubin kazan wakipiga buti na yeye haonekani etc.

hebu mkuu taja memorable moment za xavi anaamua mechi ya fainali au ana dictate mechi muhimu sana, kama vile zidane fainali zote kubwa yaani UEFA, EURO na World cup.

na pia usisahau point moja ya mwisho zidane anakuwa mchezaji bora wa dunia mara 3 wapinzani wake ni
1. Ronaldo de lima
2. Rivaldo
3. Ronaldinho
4. Figo
5. Beckham
6. Henry
7. Michael owen
8. oliver Khan
9. shevchenko
10. raul etc

kila timu ukigusa kuna watu balaa, yani ikija kuchagua nani bora hata hujui nani anashinda, tofauti na sasa ambapo wachezaji waliodumu kiwango kikubwa ni wawili tu.
 
na hizi stats umedanganya zidane ana goli 144

Zinedine Zidane History
 
Zidane ashukuru Mungu amekwepa Era ya kina Messi....unless otherwise tungemsahau
 
hebu tukumbushane mkuu messi ana fainali ngapi timu ya taifa?

-world cup vs germany (wanaume)
-copa america vs Chile (wanaume)
-copa america vs Chile (wanaume)
-copa america vs Brazil (wanaume)

mkuu angalia hapo fainali 4 tofauti na zote messi amekunya, ukisikia sijui maradona, Zidane, Pelle sio kwamba wanawafunga tu kina osasuna, getafe na stoke city hapana wanafunga pale wanapohitajika, mechi ngumu kabisa zinacheza timu kali mtu anafunga au kusaidia timu kushinda. hebu angalia hii brazill ya 1998 ina watu kama

kipa
-tafarelli
-Dida

mabeki kuna kina Cafu, roberto carlos

midfield ya kina dunga, ze roberto, leonardo, emerson na denilson mzee wa vyenga

forward ya kina ronaldo, rivaldo, bebeto

unaikamata vipi mkuu timu hii? zidane peke yake ndio anaweza mambo haya.

Messi anashindwa kina chile, ujerumani, brazill ya sasa angeweza brazil hio?

na mkuu angalia hata club level messi kacheza mechi sijui 7 na chelsea hamna kitu, kina rubin kazan hamna kitu, juve ile ya kina bonnuci hamna kitu, inter ya mou hamna kitu bayern ya heyckens etc woote hawa wana kitu kimoja wanafanana, wanajua ku defend, na hio ndio weakness ya Messi na mfumo wa pasi, waache wapige pasi weee sisi tunawasubiria golini,

mifumo kama hii inataka migoli kama ile ya zidane inakuja cross inaungwa hivyo hivyo juu kwa juu kitu nyavu hata upaki basi kama Ngorika huwezi shindana na magoli ya volley.
 
Sijaelewa pointi yako, kwahiyo unataka kuniamninisha kuwa Zidane ni zaidi ya Messi??
 
mimi sina mambo ya kitoto kufananisha van de sir na ronaldo nani zaidi sababu wanacheza nafasi mbili tofauti.

Zidane ni midfield au ukipenda Attacking midfield (kiungo mshambuliaji) wakati messi ni forward anacheza kama false 9 au wing foward kiswahili tunasema anashambulia toka pembeni, kila mtu ana role yake.

kitaalamu hawafananishiki, Messi fanya comparison na kina Pelle, maradona, Christiano ronaldo, Ronaldinho, cruyff etc hao ndio wenzake.

kila mmoja baina ya messi na zidane ana uwezo wake ambao mwengine hana. ila kwa fainali? ni bora niwe na zidane kwenye timu kuliko Messi.
 
Spin Pull Turn (Zidane) Step-On Pull Turn - Stati…:

Haya ni moja ya vitu adimu ambavyo vilivumbuliwa Zizzou vinafundishwa leo kwenye Akademi za mpira wa miguu.
 
mimi sina mambo ya kitoto kufananisha van de sir na ronaldo nani zaidi sababu wanacheza nafasi mbili tofauti.

Zidane ni midfield au ukipenda Attacking midfield (kiungo mshambuliaji) wakati messi ni forward anacheza kama false 9 au wing foward kiswahili tunasema anashambulia toka pembeni, kila mtu ana role yake.

kitaalamu hawafananishiki, Messi fanya comparison na kina Pelle, maradona, Christiano ronaldo, Ronaldinho, cruyff etc hao ndio wenzake.

kila mmoja baina ya messi na zidane ana uwezo wake ambao mwengine hana. ila kwa fainali? ni bora niwe na zidane kwenye timu kuliko Messi.
Hapo umeongelea fainali ya world cup na copa america.....lakini vipi fainali nyingine kama Uefa nakadhalika.....
 
Hahahaha wewe kama sio shabiki wa Madrid basi ni Man U au Chelsea........laaaazima unashabikia kati ya hizo
Mimi ni mshabiki wa Man u, na mshabiki yoyote wa man u wa zamani kipindi zidane anacheza lazma hampendi zidane, na hii comment yako kuwa man u wanampenda zidane inaonesha umeanza juzi kushabikia mpira.

Man u ilikuwa akikutana tu na madrid ujue mashindano yanaishia hapo anatolewa, na zidane na mwenzie de lima ndio walikuwa nuksi, tofauti na Messi ambae alifunikwa na Hagreaves akawa haonekani kipindi man U wanawatoa Barca 2007/2008.
 
Hapo umeongelea fainali ya world cup na copa america.....lakini vipi fainali nyingine kama Uefa nakadhalika.....
messi ana UEFA 4 sio? hebu tuangalie mchango wake

-vs Arsena 2006 hapa ilikuwa kazi ya kina Dinyo itoe
-vs Man U 2009 alifunga goli dakika za mwisho ila kazi yote alifanya Etoo na goli la mapema.
vs Man u 2011 hapa kidogo nampa credit ila still bila goli lake barca wangeshinda vile vile
vs juventus kazi yote ilimalizwa na Neymar na Suarez

hivyo hakuna kitu exceptional useme dah bila messi barca walikuwa wanakufa au mechi barca walikamatwa messi kafunga etc.

yani kwa club level Inzaghi ni bora kuliko messi na ronaldo linapokuja suala la Finali.
 
ulinganisha mkate na mchanga? Zinadine was a great footballer
 
Back
Top Bottom