unataka namba?
-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)
UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia
-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu
-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu
-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe
1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali
2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro
3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup
4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.
kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea