Umeua kaka... hawa facebook wameanza kufatilia mpira Rio Ferdinand ananyoa kipara hawawezi kumpata vzr Zizzou.Hakuna Statistics za maana zaidi ya hizo Pasi alizopiga...Simuoni kama super hero hapo Barcelona wala Spain japo ameupiga mpira mwingi...namuweka level moja na kina Schneider...Robben...Ribery...Rooney...Scholes etc.
Simuweki na kina Figo...Zidane...Ronaldo...Gaucho...Rivaldo etc
.
unataka namba?
-zidane ni mchezaji bora wa miaka 50 iliopita wa ulaya (xavi pia ni wa ulaya)
UEFA Golden Jubilee Poll - Wikipedia
-ana baloon d or moja xavi ana kibuyu
-fifa player of the year mara 3 xavi ana kibuyu
-kila fainali man of the match yeye (kasoro 2006 ambayo alimpiga mtu kichwa), na sio man of the match tu bali anakuwa mchezaji bora wa michuano. nikukumbushe
1. 1998 huyu jamaa aliwafunga brazil goli mbili fainali akawa mchezaji bora wa michuano na man of the match fainali
2. mwaka 2000 mchezaji bora michuano EUro
3. 2002 anakosekana ufaransa wanatoka makundi world cup
4. 2006 anarudi world cup ufaransa wanafika fainali, kama sio ile red walikuwa wanabeba tena na mwanaume anabeba tena uchezaji bora.
kwenye club hivyo hivyo mpaka leo goli lake la 2002 la fainali ni moja ya magoli bora kupata tokea
Messi anacheza Era ya wachovu ndio unamtaja hapa... Hivi we unawajua waliocheza enzi ya Zidane au unataka kujuzwa?Zidane ashukuru Mungu amekwepa Era ya kina Messi....unless otherwise tungemsahau
Kama hakuelewa.. arudi VETAmimi sina mambo ya kitoto kufananisha van de sir na ronaldo nani zaidi sababu wanacheza nafasi mbili tofauti.
Zidane ni midfield au ukipenda Attacking midfield (kiungo mshambuliaji) wakati messi ni forward anacheza kama false 9 au wing foward kiswahili tunasema anashambulia toka pembeni, kila mtu ana role yake.
kitaalamu hawafananishiki, Messi fanya comparison na kina Pelle, maradona, Christiano ronaldo, Ronaldinho, cruyff etc hao ndio wenzake.
kila mmoja baina ya messi na zidane ana uwezo wake ambao mwengine hana. ila kwa fainali? ni bora niwe na zidane kwenye timu kuliko Messi.
Funga mdomo wako... Iniesta na Xavi ni level ya Zidane?... shwain kabisaMihemko hii sasa....Zidane Uwezo wake haujafika hata robo ya Messi.....Zidane tunamuweka daraja moja na Iniesta au Xavi
Umeanza lini kuangalia mpira?Daaah,Xavi ni bora kwangu mm
Jana usiku na mpaka sasa hiv naangalia 😐😐😐Umeanza lini kuangalia mpira?
Ningeelewa kidogo kama angekua analinganishwa Xavi na Pirlo, sio Zidane
the Legend☆
Xavi sijawahi kuona huyu jamaa anapoteza mpira katikati. Mimi namkubali sana huyu jamaa hajapewa sifa anazostahili kabisa yaani hakuna haki kwa kweli, labda alikosa kick tuXavi the magician..
Zidane ashukuru Mungu amekwepa Era ya kina Messi....unless otherwise tungemsahau
Kweli kabisa hakuna kufanana hapa, Yaani Zidane na Xavi? Nikumkosea heshima yule mwarabuHii ni JF ambayo mimi ninaifahamu au nyingine yani unamlinganisha zizzou na pimbi ambaye hata Owen Hargreaves hamfikii kwaubora ? Hii mada imezungumzwa kindezi sana.