Zifahamu baadhi ya comeback maarufu katika ulimwemgu wa soka

mpira unajua kuliza watu
 
Coastal union Vs namba
Hiyo mkwakwani, washamba wa mwanza mpaka walisahau walipopaki gari lao
 
Yanga vs Simba 2022' NGAO YA JAMII

Simba anaanza kufanga goli la mapema kupitia Sakho.

Kipindi cha pili Mayele anafanya yake kwa kupachika mabao yote mawili huku goli la pili akiifungia Yanga dakika za lala salama na Yanga kuibuka mshindi na kubeba ngao ya jamii
 
Man Utd Vs Bayern Munich

Fainal ya UCL 1999 kipindi hiko bado upo Matombo
 
FRANCE3: 3ARGENTINA"2022"
JUVENTUS 4: I.MILAN 4"2025"
BARCELONA 4:CELTA VIGO 4(2025)
 
Bila ya mechi hizi, hii ina ubatili.

Madrid 4 - atletico Madrid 1
Juventus 3- atletico Madrid 2.
madrid 5- man city 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…