Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo

1.anijali km mke
2.asiwe mbinafsi(hii imebeba mambo meng kias kwajili hujaoa nisingependa nikukuze ubongo wako)
hakuna mwanaume anaeboa km MBINAFSI JAMAN!
Hivi lazma upewe tu km goalkeeper wewe huwezi kutoa hata siku moja?
 
Ebu twambie basi kidogo ili tijipange kuingia kwenye ndoa


kwangu mimi binafsi najua mwanamke anataka vitu vidogo vidogo sanaaaa! ukiona mwanamke anataka mambo makubwa kuwa macho!
1.kumjali kwa vitu vidogo dogo sisi hapo basi tunapenda! mletee mkeo hata zawad ya pipi kifua basi! au mletee kitu anachopenda!huna uwezo wa kumnunulia nguo bas mletee hata pants nzuri!
mjali hisia zake! sisi wanawake tunapenda sana kusikilizwa!muwasikilize wake zenu hisia zao....

mengine wengin wataongezea!
 





nimejikuta nacheka tu aic!haahhhaha
 
Hapo sawa,nimekuelewa mdada
 
Wengine wanaoga huko na akirudi husingizia kachoka au ugonjwa na haogi, kazi kwako sasa.
 
Hapo tupo sawa sasa
hata kama umeoa na una mtoto wa kike huyo atakuwa wako kuanzia 0 age hadi atakapo vunja ungo "puberty" since then huyo tayari ni mtu mzima ana maamuzi yake chochote atakachokuwa anafanya ni siri zake na mama yake hawezi kuja akwambie leo nipo kwenye MP atamwambia mama yake ndo mama kama atapenda kukushirikisha atakwambia na inategemea mko na ushirikiano gani na mke wako
Hapo ni pale inatokea unampeleleza sana shemeji yetu tunarudi kulekule sasa siri wanalindana na bint yako
Nini kifanyike omba mungu akupe mke mwema anae kujali na unae mjali na kuaminiana
Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe mke ndo familia muda mwingi yupo na wanao
Ole wako achepuke utajuta kwa tunda ka mti bint nae atachepuka matokeo anakutana na kauli za JMP serikali haitasomesha wazazi najua umenipata...
Huwezi chunga mtu anaitwa binadamu mwanamke.............
 
1.anijali km mke
2.asiwe mbinafsi(hii imebeba mambo meng kias kwajili hujaoa nisingependa nikukuze ubongo wako)
hakuna mwanaume anaeboa km MBINAFSI JAMAN!
kweli sijaoa ila uwezo wakuoa ninao ila bado sijapata chaguo sahihi,haya nambie ubinafsi upi unaousema wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…