Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo

Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo

Mkuu;
Atakuwa mwanamke mpuuzi sana huyo. Ajue kuwa amekuvunjia hishima halaf ati aje na sababu, Ohh kiuno changu jamanii. Au aseme nimechoka jamani, kule kazini kulikuwa na kazi nyingi.
Kama ametoka kudinywa, kwako atajituma kupita kiasi ili usimdhanie mabaya. Mwanamke anaweza kutosheleza midume 3 bila shida kwa siku moja na nyote mkainua mikono na kulia Poo.
Mkuu, usihangaike na kumtega mkeo. Kama hana uaminifu ni kumuomba Mola tu asikuletee ukimwi. Mtu mzima hafugiki.
ajitume vipi wakati atakuja na michubuko na hamu ishamalizwa atakuwa hasikii raha Bali maumivu
 
ajitume vipi wakati atakuja na michubuko na hamu ishamalizwa atakuwa hasikii raha Bali maumivu

Kweli kabisa ila anajua kuwa alikukosea. Nimekuambia hivi; Mwanamke akipenda anaweza kuwatimizia wanaume 3 kwa siku na wala asichoke. Kama wapo wanawake wa ukweli humu jf watakuambia
 
Maisha haya na Magu anavyonisomesha namba nifikirie kutafuta hela bado nifikirie kumchunguza mwanamke kama katoka kugongwa!!!never,labda kama kumchunguza nitaahidiwa mshiko otherwise atagongwa hata na tembo wala sitataka kujua.
 
Uko vizuri mkuu
 
Kweli kabisa ila anajua kuwa alikukosea. Nimekuambia hivi; Mwanamke akipenda anaweza kuwatimizia wanaume 3 kwa siku na wala asichoke. Kama wapo wanawake wa ukweli humu jf watakuambia
Ni kweli, yupo jirani angu anawapanga hadi karaha
 
Ni rahisi kuchunga mbuzi au kondoo 100, kuliko kumchunga binadamu 1.

[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
nani kasema hayo hebu thibitisha
 
Back
Top Bottom