Zifahamu dalili 10 za mwanamke aliyetoka kufanya mapenzi kama ni mkeo

Wanawake tunaonewa aisee.... Mbn Kila ck niwanawake tu?.. Na nitagunduaje km mme ametoka kuchepuka? Maana km mwanamke kachepuka inamanisha alikuwa na mwanaume...so mwanaume anakuwa na viashiria gani km katoka kuchepuka?
 
Yani nitoke kuchepuka...halafu mtu anijue kua nimechepuka thubutuuuuuu haiwezekani ....mm napinga iyp
 
Mi nilimshtukia manzi mmoja anaitwa Tina, nilimuita aje nikiwa na nia ya kumgegeda ila hakufika ndani ya muda alichelewa na tulikua hatujaonana takribani mwezi na nusu. Alipokuja akawa anagoma kutoa tunda kisa eti hayupo kwenye mood. Nikamwambia poa, niruhusu japo nikushike papunga nijiridhishe. Kushika papunga nkakuta imelegea na imeloa kwa hali ya tofauti. Hapo nkajua nshashika bao la mtu dadeki. Nikamshauri aende tu akamalizie show yake. Baada ya wiki akanipigia akikiri kuwa ni kweli alitoka kumezana na jamaa mwingine. K huwa ni ngumu kudanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…