miss blasia
Member
- Apr 1, 2017
- 59
- 68
Cku hz tunaendaga na sabuni zetuHuwa hawaogi vzr maana vile visabuni vya lodge hawatumii vina harufu kali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cku hz tunaendaga na sabuni zetuHuwa hawaogi vzr maana vile visabuni vya lodge hawatumii vina harufu kali.
Inategemeana hiyo midume 3 nguvu zao.Mkuu;
Atakuwa mwanamke mpuuzi sana huyo. Ajue kuwa amekuvunjia hishima halaf ati aje na sababu, Ohh kiuno changu jamanii. Au aseme nimechoka jamani, kule kazini kulikuwa na kazi nyingi.
Kama ametoka kudinywa, kwako atajituma kupita kiasi ili usimdhanie mabaya. Mwanamke anaweza kutosheleza midume 3 bila shida kwa siku moja na nyote mkainua mikono na kulia Poo.
Mkuu, usihangaike na kumtega mkeo. Kama hana uaminifu ni kumuomba Mola tu asikuletee ukimwi. Mtu mzima hafugiki.
HahhahahhaahaaMke anauma jamani .
Kuchapiwa kusikieni kwenye bomba tu.
Inamaana Mwanaume Wako Bado Hujamjua Ndio Maana Hujui Kama Ametoka Kuchepuka Ila Ukihitaji NtakuambiaWanawake tunaonewa aisee.... Mbn Kila ck niwanawake tu?.. Na nitagunduaje km mme ametoka kuchepuka? Maana km mwanamke kachepuka inamanisha alikuwa na mwanaume...so mwanaume anakuwa na viashiria gani km katoka kuchepuka?