Zifahamu Engine oil

Nadhani haujafahamu tofauti ya Synthetic Oil na Mineral oil. Hizi mbili ni tofauti sana hata kwenye durability.
Hafahamu... Nimeona nimwache sababu hafahamu halafu anadhani anafahamu. So ni ngumu kumuelewesha mtu wa aina hii.
 
Haya mambo ya oil sijui viscocity mara temp nimeua engine 2nz ist hapa nimepak gari natafuta pesa ninunue mswaki...
 
Ni kemikali gani inaweza ukaitumia kubleach engine colour. Yaani kuondoa weusi wa oil.
 
Safi.

Mi nilishafeli gari yangu imekufa engine, kwa mujibu wa wataalamu wanasema imeua gasket seal, piston ring na pengin cylinder head...

Engine ni 2NZ ist, inatulia baada ya muda inatoa moshi mweupe mwiiiiingi saaana. Hapa nimeshauriwa kutafuta pesa kununua mswaki mpya tu.

Shida yangu ni!

Je kwa kipindi hiki cha kusubiria nipate pesa ya kununua engine/mswaki mwingine, je naweza kuendelea kuitumia hii gari bila kuongeza tatizo lolote??

Nifanye nini ili kuzuia huu moshi kutoka, napata shida saana barabarani napigiwa kelele, sometime watu wanakimbia wanadhan gari inataka kuwaka moto tafran yaaani.

Tunazuia vipi huu moshi na gari naitaka saana kuitumia hiii
 
Nyie ndio wakali wa hizi kazi tutawafata kila page... Misaada muhimu msituchoke
 
Nadhani haujafahamu tofauti ya Synthetic Oil na Mineral oil. Hizi mbili ni tofauti sana hata kwenye durability.
Aisee jamaa anavalid point..hata watengenezaji wa hizo oil wanasema kilometers ni under normal driving conditions..nje ya hapo unabidi utumie commonsense..!

Gari ya Formula One F1 inaweka engine oil 10w60..race moja haizidi 300kms..unadhani baada ya hiyo race oil yake itakuwa sawa na gari ya uber iliyoenda 300kms...!!!?
NASCAR nao unahisi after race hawabadilishi oil sababu kilometers hazijafika..!!!?

Under normal driving conditions ni sawa na Vigezo na Masharti kuzingatiwa kwenye bahati nasibu..!
 
Mkuu hawa jamaa hapo juu will understand with time once waki digest what I have written.
 
kama kuna mtu anataka oil ya Gari au Engine mzuri nicheki kupitia namba yangu +818020717421
 
Tumia 5W - 30
Kama gari yako odometer inasoma zaidi ya km 100,000 tumia 5W - 40
Mimi gari yangu ina 140,000km Ila huyu fundi wa chini ya mwembe anawekaga 20W-50 mwaka wa tatu mfululizo sasa. Je next service nikiweka 5W-40 hakuna shida?
 
Mimi gari yangu ina 140,000km Ina huyu fundi wa chini ya mwembe anawekaga 20W-50 mwaka wa tatu mfululizo sasa. Je next service nikiweka 5W-40 hakuna shida?
5w - 30 ni nyepesi pia iinafaa saana Kwa magari ya 2009 kuja juu.
SASA kama umetumia 20w - 50 Kwa zaidi ya miaka 3 ni Bora uendelee kutumia kuliko kurudi kwenye thin oil
 
Oil sahihi kwa piki piki eg boxer , sinoray, toyo Ni IPI

Na Bajaj TVs king na interval Ni muda gani au km ngapi
 
Km ni janja janja


Kilometa Kuna uendeshaji

Huwezi compare oil ya hiace ya town trip na masafa, Ni wazi hata zikitumia oil sawa ile ya masafa eg 200km per day itawahi choka
 
Oil sahihi kwa piki piki eg boxer , sinoray, toyo Ni IPI

Na Bajaj TVs king na interval Ni muda gani au km ngapi
Ni kucheza na manual zake.. Na vile huwa zinauzwa mpya kwa dealers then watakuwa na maelezo kamili..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…