Huu utandawazi sasa umezidi mtaambiana mmeze hadi MAVI sasa inakoelekea
Hujasikia?? nakumbuka miaka ya tisini kuna mtu alitangaza kuwa kama umesumbuliwa na Malaria kwa muda mrefu.Ukinywa mkojo wako unaweza kukupa kinga ya kudumu dhidi ya Malaria:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big: