Dodoma kucheeWakuu,
Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24:
1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7
2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7
3. Dodoma CC-Bilioni 51.5
4. Temeke MC-Bilioni 47.9
5. Ubungo MC-Bilioni 33.8
6. Arusha CC-Bilioni 33.4
7. Mwanza CC-Bilioni 21.0
8. Mbeya CC -Bilioni 20.0
9. Kigamboni MC - Bilioni 17.7
10. Tanga CC-Bilioni 16.1
================================
Inawezekanaje Dodoma imeipita Arusha kwa mapato? Dodoma kuna biashara gani huko?
Mwanza inapigwa vita sanaKumbe mwanza ipo nyuma ya Arusha
maana yake Arusha kuna ukwepaji mkubwa wa kodiWakuu,
Zifahamu Halmashauri 10 zilizoongoza kukusanya mapato ya ndani 2023/24:
1. Dar es Salaam CC (Ilala) - Bilioni 111.7
2. Kinondoni MC- Bilioni 64.7
3. Dodoma CC-Bilioni 51.5
4. Temeke MC-Bilioni 47.9
5. Ubungo MC-Bilioni 33.8
6. Arusha CC-Bilioni 33.4
7. Mwanza CC-Bilioni 21.0
8. Mbeya CC -Bilioni 20.0
9. Kigamboni MC - Bilioni 17.7
10. Tanga CC-Bilioni 16.1
================================
Inawezekanaje Dodoma imeipita Arusha kwa mapato? Dodoma kuna biashara gani huko?
Kahama, Tarime na Geita zimeonewaKwani halmashauri zenye migodi ya madini zipo katika hadhi ipi ya uchangiaji wa pato la taifa?
Wakuu,