Think Machines
Senior Member
- Jan 26, 2023
- 129
- 194
- Thread starter
- #21
Hapana hizo hatuna bossBoss una shotcrete spray gun?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana hizo hatuna bossBoss una shotcrete spray gun?
Kuna hii easy power CG 2700 (2700 psi) bei 850,000 pia na hp1010-1.8A zinafaa kabisa kwa kijiwe kidogo hasa kwa bajaji na pikipiki pia magari madogoAmbayo n nzuri kwa kuoshea pikipiki na bajaji bei mbili za chini n sh ngapi
Sawa boss nalifanyia kaziNashauri kila kifaa unachoweka basi weka na bei kama ni ngumu weka range mfano mashine hii bei ni kuanzia 500K hadi 1.2M
Inasaidia kupunguza maswali na kumfanya msomaji ajipime financial muscles
Hii ni bei gani??Hii ni silent compressor kwa ajili ya mafundi wapiga rangi haina kelele itakurahisishia sana kaziView attachment 2622767
Hii 550,000 BossHii ni bei gani??
5 kg @170,000
10 kg @220,000
15 kg @250,000
Hizo spray gun kwakweli si mshauri mtu kununua ni bola akod mashine lakini sio hizo, Moja hazitoi rangi inavyo takiwa zina rangi inaweza toka nyingi Sana au kidog san kwa wakat mmoja, pili rangi inatoka kwa matone mengi, Kwa mfumo huo inatumia rangi nyingi sana, kama umezoea kutumia lita Moja bas itakubid uandae lita mbil na nusu km utatumia spray gun.Kwa ambao hawataweza kugharamikia compressor ndogo kama liter 25 , wanaweza kuanza na electric spray gun huku wakojitafuta , nimekuwekea hapo chini bei yake ni 120,000
View attachment 2716382
Ndio maana nikasema kama mtu ameshindwa kabisa achukue hizo ila kama anapenda kazi ya uhakika ni bora achukue compressor walau liter 25 ,wapo wengi tu wanaofanya hivo ukiacha hizo compressor mimi nime supply spray gun nyingi sana kwa mafundi seremala na wale artist wachoraji , ila compressor nyingi wanachukua watu wenye miradi kama ya nyumba au watengeneza furniture kubwa , all in all mfuko wa mtu ndo utaongeaHizo spray gun kwakweli si mshauri mtu kununua ni bola akod mashine lakini sio hizo, Moja hazitoi rangi inavyo takiwa zina rangi inaweza toka nyingi Sana au kidog san kwa wakat mmoja, pili rangi inatoka kwa matone mengi, Kwa mfumo huo inatumia rangi nyingi sana, kama umezoea kutumia lita Moja bas itakubid uandae lita mbil na nusu km utatumia spray gun.
Mkuu, kuna mtu huko juu alishauri ukiweka mashine, uwe unaweka na bei.Vacuum Cleaners
Kwa wale wenye vijiwe vya car wash ni muhimu ukawa na hizi mashine ili kuvutia watu wengi na kutoa huduma bora zingatia hilo View attachment 2716991View attachment 2716992
Bei nina update kule juu regularly, huku kuna uwanja wa kuelezea vizuri usijali kuhusu bei lazima niziwekeMkuu, kuna mtu huko juu alishauri ukiweka mashine, uwe unaweka na bei.
Ukasema utalifanyia kazi.
Uchafu kwenye chekecho,maji hayapiti kwa kiwango sahihi kwenda kwenye hose yako.Ninayo iyo edon HP1010-1.8A ni kama miezi miwili na nusu imepita tangu nimeinunua sikuwahi kuitumia zaidi ya kutest wakati nanunua, ila sasa hivi nikiiajribu inatoa mngurumo kuashiria imewaka lakini nikiminya ile spray gun maji hayatoki shida inaweza kuwa nini mkuu?