Zifahamu Mashine mbalimbali ambazo zinaweza kukusaidia kukuza miradi midogo hapa Tanzania

AIR COMPRESSORS
Hizi zitakurahisishia fundi ujenzi au fundi seremala kupaka rangi kwa vifaa vyako pia kupaka rangi nyuma yako vizuri n kufanya zoezi kuwa rahisi zipo za kampuni aina mbili

Easy power na EDON katika sifa zifuatazo
25 liters na unapata air pipe meter 10 na gun yake

50 liters unapata air pipe 10m na gun yake

Pia kuna za liter 100

200 (2 in 1 zinatumia umeme na mafuta )

300 (2 in 1 zinatumia umeme na mafuta )

 
Kwa garage na mechanics
Kuna Grease buckets zitakurahisishia kazi yako huku uki-mordenize services zako na kufanya kuwa reliable
Zina range zifuatazo
5 kg @170,000
10 kg @220,000
15 kg @250,000

MIKOANI TUNATUMA PIA
 
Kwa ambao hawataweza kugharamikia compressor ndogo kama liter 25 , wanaweza kuanza na electric spray gun huku wakojitafuta , nimekuwekea hapo chini bei yake ni 120,000
View attachment 2716382
Hizo spray gun kwakweli si mshauri mtu kununua ni bola akod mashine lakini sio hizo, Moja hazitoi rangi inavyo takiwa zina rangi inaweza toka nyingi Sana au kidog san kwa wakat mmoja, pili rangi inatoka kwa matone mengi, Kwa mfumo huo inatumia rangi nyingi sana, kama umezoea kutumia lita Moja bas itakubid uandae lita mbil na nusu km utatumia spray gun.
 
Ndio maana nikasema kama mtu ameshindwa kabisa achukue hizo ila kama anapenda kazi ya uhakika ni bora achukue compressor walau liter 25 ,wapo wengi tu wanaofanya hivo ukiacha hizo compressor mimi nime supply spray gun nyingi sana kwa mafundi seremala na wale artist wachoraji , ila compressor nyingi wanachukua watu wenye miradi kama ya nyumba au watengeneza furniture kubwa , all in all mfuko wa mtu ndo utaongea
 
Vacuum Cleaners
Kwa wale wenye vijiwe vya car wash ni muhimu ukawa na hizi mashine ili kuvutia watu wengi na kutoa huduma bora zingatia hilo
 
Mkuu, kuna mtu huko juu alishauri ukiweka mashine, uwe unaweka na bei.
Ukasema utalifanyia kazi.
Bei nina update kule juu regularly, huku kuna uwanja wa kuelezea vizuri usijali kuhusu bei lazima niziweke
 
Uchafu kwenye chekecho,maji hayapiti kwa kiwango sahihi kwenda kwenye hose yako.
 
Pump Aina zote
EDON
0.5 HP >>> 250,000
0.75 HP >>> 350,000
1.0 HP >>> 370,000
1.5 HP >>> 420,000
2.0 HP >> 490,000

Sewage pumps ( pump za maji machafu)
1 hp >>> 400,000
1.5 hp >>> 500,000
2.0 hp >>> 640,000
3.o hp >>> 740,000

Doyin pumps (submersible pumps)
0.5 hp >>>270,000
0.75 hp>>>270,000
1.0 hp>>>340,000
1.5 hp>>>440,000
2.0 hp>>> 535,000
 

Attachments

  • 20230814_092903.jpg
    53.1 KB · Views: 8
Electrical & Gasoline Demolition Hammers ,pneumatic Rock drills

mafundi ujenzi inawafaa sana kwa ajili ya Demolition activities na pia kupasulia miamba migumu
Kuna brand mbalimbali
TOTAL @750,000
Edon @760,000
Y020 @750,000
 
LUTIAN DIESEL PRESSURE WASHER heavy duty 4600 PSI 320 bars inapatikana kwa 3,200,000

Hii pressure washer ya uhakika kabisa kwa shughulu zako za kila siku , LUTIAN ni brand nzuri sana huwezi jutia hata siku moja hii utaoshea malori n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…