Think Machines
Senior Member
- Jan 26, 2023
- 129
- 194
- Thread starter
-
- #121
Kampuni hii ina majenereta durable sana, na yanafaa katika shughuli zako za kibiashara hapa mjini
Majenereta yao ni imara sana
ukilihudumia vizuri utakaa nalo mda mrefu sana
Mkuu unaweza kuattach tena hizi picha za mashine.Zimegoma kufungukaJAW CRUSHERS
PE 150 X250
Specs
-Maximum input size 125 mm
-1.7-5.6 tons/hrs
-power 5.5kw
-output [particles size 15-45mm ]
-uzito 450 kg
Bei 5,500,000
PE 200X300
Specs
-Maximum input size 180mm
- 2-6 tons /hrs
-output [particle size 15-50mm]
-power 7.5kw
-uzito 740kg
Bei 8,500,000
PE250X400
Specs
-Maximum input size 210mm
-5-22 tons/hour
-power 15kw
- output size 20-60mm
-uzito 1800kg
Bei 15,000,000
View attachment 2749975View attachment 2749976View attachment 2749978
Okay haina shidaMkuu unaweza kuattach tena hizi picha za mashine.Zimegoma kufunguka
Hizi mkuuMkuu unaweza kuattach tena hizi picha za mashine.Zimegoma kufunguka
Inaweza kuchimba kisima?Earth Auger, mashine ya kuchimbia mashimo ,inatumia petroli
Bei 750,000 View attachment 2764505
Hapana mkuu, kwa ajili ya mashimo kama vile ya kupandia miti n.kInaweza kuchimba kisima?
Kimo cha mwisho kabisa kuchimba ni Futi ngapi?Hapana mkuu, kwa ajili ya mashimo kama vile ya kupandia miti n.k
2 feetKimo cha mwisho kabisa kuchimba ni Futi ngapi?
Hizo hatuna mkuuVp mashine za kukamulia nyonyo,na mbegu kama karanga, alizeti zinapatika? Bei vp?
Nenda sido wanatengeneza.Mm nataka mashine za kutengeneza sabuni za kuogea na miche
Sent from my TECNO CI6 using JamiiForums mobile app