mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
mara nyingi baada ya game wanawake wanapenda sana kupiga mizinga.sasa thread hii inawataka wataalamu wanaume waoneshe uwezo wa kutoroka bila kulipa.mara nyingi mimi hutumia mbinu ya kuzuga kupokea simu.mbinu hii huitumia sana pale bili inapokuja bar.njooni na mbinu zingine