Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

Zifahamu nchi zilizopata mwaliko wa kuhudhuria mkutano wa Wakuu wa Nchi wa G20

tamsana

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2012
Posts
3,739
Reaction score
8,044
Tanzania ni maoja ya nchi zilizoalikwa kushiriki kwenye mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G20.

Mkutano huo unafanyika Brazil ambapo pamoja na mambo mengine utajadili masuala ya climate change, democracy, nk.

Huu ni mkutano muhimu kwa nchi kama Tanzania ambazo zimejaliwa kuwa na rasilimali zinazosaidi katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa ikiwemo matumizi ya nishati safi (green transaction).

Kwa upande wa Afrika ni nchi 5 pekee ambazo zimefanikiwa kupata mwaliko huo ambazo ni Angola, Mozambique Nigeria na Egypt.

Nchi nyingine zilizoalikwa ni kama zinavyoonekana hapo chini.
1000389701.jpg
 
Back
Top Bottom