Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Huo mkopo naweka kitu gani kama dhamana? Sina hela hata za kununua baiskeli.[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu na wewe unakitambi[emoji851] chukuwa mkopo benki mkuu, au nunuwa gari bovu [emoji851] [emoji851] [emoji851].
kama hujaelewa soma comments.