BrainOs
Senior Member
- Sep 9, 2024
- 173
- 292
Kwani za Sasahivi hazina glow plugs,, hizi engine za direct injection zenye common rail fuel injectionInjini zote za diesel za kizamani ambazo zilikuwa indirect injection zilikuwa zina tumia heater au Kwa Jina lingine Glow Plugs.
Mfano 1HZ inatumia Heater, injini za Kubota hizi utakuta umeandikwa inatumia Plug ingawa ni diesel.