Zifahamu simu bora za Infinix mwaka 2023

Simu ukiwasha data inaleta matangazo!
Sasa hiyo ni simu au notesboard?
Ushamba mzigo..mimi natumia itel smartphone hayo matangazo unayosema yanaletwa na browser haswa phoenix browser au operamini cha kufanya nenda kwenye settings ,kisha notifications halafu unablock notification access kwa hizo app hutaona matangazo mzee.
 
Haya mkuu..
Pambana na hiyo Iteli😊
 
Back
Top Bottom