Mjukuu wa kigogo
JF-Expert Member
- Sep 19, 2023
- 445
- 1,094
Taifa linapitia kipindi kigumu sanaInfinix ni wa kupanikisha iphone na samasung?
Be serious man
Ushamba mzigo..mimi natumia itel smartphone hayo matangazo unayosema yanaletwa na browser haswa phoenix browser au operamini cha kufanya nenda kwenye settings ,kisha notifications halafu unablock notification access kwa hizo app hutaona matangazo mzee.Simu ukiwasha data inaleta matangazo!
Sasa hiyo ni simu au notesboard?
Haya mkuu..Ushamba mzigo..mimi natumia itel smartphone hayo matangazo unayosema yanaletwa na browser haswa phoenix browser au operamini cha kufanya nenda kwenye settings ,kisha notifications halafu unablock notification access kwa hizo app hutaona matangazo mzee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni uchumi tu mzee .mwaka jana nilitoka kwenye iPhone 8+ nikaingia huku..Haya mkuu..
Pambana na hiyo Iteli[emoji4]
๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni uchumi tu mzee .mwaka jana nilitoka kwenye iPhone 8+ nikaingia huku..
LinaNa sisi watumaji wa ITEL lina mtatupa mashavu