Jibu swal kwanzaKwani una tatizo la uelewa?
Ungeweka link bila maelezo ningefuata link,Umefuata link au umeona uvivu?
Kulingana na utafiti wa Goldman Sachs, inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni 3 nchini Marekani watapoteza kazi zao kwa sababu ya kuhamia kwenye teknolojia ya usafiri wa kujiendesha wenyewe. BBCUmefuata link au umeona uvivu?
Ninaposoma Uzi wako, Kuna ngoma ya Chidumule inaitwa neema inapigwa kwenye sabuufa ya jirani, bila tafakari nimekubaliana na wewe kwa sasa hata wanamuziki hatuna tena, tuna wasanii. nani anaweza kungurumisha mdomo wa Bata kwa sasa kwa kiwango Cha wimbo huo wa neema?Kwa sababu ya ukuaji mkubwa wa teknolojia baadhi ya Taaluma zipo mbioni kupotea kabisa
1. Udereva
2. Udaktari
3. Mkutubi
4. Mweka Hazina
5. Wafanya kazi wa Benki
Link: Zifahamu taaluma sita ambazo zinatokomea - BBC News Swahili
Source: BBC
Ongeza na taaluma ya UsamaliamwemaKwa sababu ya ukuaji mkubwa wa teknolojia baadhi ya Taaluma zipo mbioni kupotea kabisa
1. Udereva
2. Udaktari
3. Mkutubi
4. Mweka Hazina
5. Wafanya kazi wa Benki
Link: Zifahamu taaluma sita ambazo zinatokomea - BBC News Swahili
Source: BBC
Kweli hii ipo sawaMi naona
Taaluma ya upendo na uaminifu ndio zinaongoza kupotea kila siku