Zifahamu Taaluma zinazopotea zaidi kwa kasi Duniani

Zifahamu Taaluma zinazopotea zaidi kwa kasi Duniani

Kwa Afrika bado sana, magari ya kujiendesha yenyewe haiwezekani, mashine kufanya upasuaji haiwezekani, labda benki kidogo maana matumizi ya mitandao inakua sana na ni affordable
 
Kwa Afrika bado sana, magari ya kujiendesha yenyewe haiwezekani, mashine kufanya upasuaji haiwezekani, labda benki kidogo maana matumizi ya mitandao inakua sana na ni affordable
Umefuata link au umeona uvivu?
 
Umefuata link au umeona uvivu?
Kulingana na utafiti wa Goldman Sachs, inakadiriwa kuwa zaidi ya watu milioni 3 nchini Marekani watapoteza kazi zao kwa sababu ya kuhamia kwenye teknolojia ya usafiri wa kujiendesha wenyewe. BBC

Sasa walichoandika wao na nilichosema vinapishana nini...?
 
Kwa sababu ya ukuaji mkubwa wa teknolojia baadhi ya Taaluma zipo mbioni kupotea kabisa

1. Udereva

2. Udaktari

3. Mkutubi

4. Mweka Hazina

5. Wafanya kazi wa Benki

Link: Zifahamu taaluma sita ambazo zinatokomea - BBC News Swahili

Source: BBC
Ninaposoma Uzi wako, Kuna ngoma ya Chidumule inaitwa neema inapigwa kwenye sabuufa ya jirani, bila tafakari nimekubaliana na wewe kwa sasa hata wanamuziki hatuna tena, tuna wasanii. nani anaweza kungurumisha mdomo wa Bata kwa sasa kwa kiwango Cha wimbo huo wa neema?
 
Mi naona
Taaluma ya upendo na uaminifu ndio zinaongoza kupotea kila siku
 
Back
Top Bottom