GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Morocco
2. DR Congo
3. Zambia
Kwanini?
Ni Timu ambazo zinacheza Mpira wa Kuvutia, wa Kisasa na kuna Vipaji vikubwa na Vingi.
Pia ni Timu ambazo Makocha wake hawafichi Vikosi vya Wachezaji wao kwa Wananchi ili Visijadiliwe na Visikosolewe na Wadau.
Lakini pia ni Timu ambazo hazitumiki na Marais wa Mataifa yao kama Turufu (Ngazi) ya Kujiimarisha zaidi Kisiasa na Vyama vyao Tawala.
Yaani kabisa GENTAMYCINE The King niache kuzishangilia Morocco, DR Congo ya akina JB Mpiana na Wenge Musica BCBG na Zambia ya akina Rally Bwalya, Kennedy Musonda, Moses Phiri na Clatous Chota Chama niwashangilie Mazuzu, Wapuuzi na Wanafiki wengine?
Kudadadeki!