Elipa malipo
Member
- May 27, 2024
- 7
- 4
Moja,anatakiwa kujua kusoma na kuandika;Kuna viongozi ambao wakiletewa mikataba wanashindwa kusoma sababu hawajui kusoma na kuandika.Kiongozi anayejua kusoma na kuandika itamsaidia wakati wa kusaini mikataba mbalimbali ambayo inahitaji kusoma na kuandika kwa manufaa ya pamoja ya wananchi.
Mbili,anatakiwa kuwa na ujuzi katika siasa;Hii inamanisha awe na sera au mawazo chanya yanayojenga mfano kuitoa nchi katika uchumi ilipo mpaka kuipeleka hatua nyingine ya juu au zaidi.Anbaye anaweza kushawishi wananchi washirikiane, waishi kwa amani na wawe kitu kimoja mfano KassimMajaliwa.
Tatu, anatakiwa awe amefikisha umri wa miaka Kumi na nane na kuendelea (18).Hiyo inamanisha kuwa tayari ameisha vuka kutoka hali ya utoto mpaka kuwa mtu mzima.Katiba ya jamhuri ya muungani wa Tanzania imelizingati hili kwa sababu
mtu anaetakiwa kuwa kiongozi ni kuanzia umri wa miaka kumi na nane (18)kwa upande wa udiwani na pia akili yake inakuwa imekoma.
Nne,anatakiwa kuwa ni mtu wa kushiriana na jamii kabla hata hajawa kiongozi;Hii itasaidia kuongoza vizuri kwa sababu kitu chochote bora kinaanzia chini. Msingi wa kiongozi bora yeyote unaanzia chini, hii inadhihilisha kwa jinsi gani kiongozi bora anatakiwa kuanzia kutoka Kwenye msingi mfano, mwalimu Julius Kambarage Nyerere alikuwa ni
Tano,anatakiwa kuwa mwaminifu;ahakikishe ahadi anazozitoa wakati wa kampeni ndizo anazozitimiza. Wakati amekuwa kiongozi mfano, akihaidi maji ,umeme,barabara nzuri,elimu bora n.k.Nchi hii ikipata viongozi wenye kutimiza ahadi zao. Uchumi wake utakuwa kwa wakati na maendeleo ya watu wake yatakuwa makubwa mfano,Kassim Majaliwa.Nchi ya china imekuwa na sera bora tangu kupata uhuru wake. Kwa Sasa ni nchi ya pili kwa uchumi mkubwa duniani.
Saba, anatakiwa kuwa mtu anajiamini;asiyeogopa viongozi wenzake,anayesema ukweli pale viongozi wanapokosea. Hii itasaidia hata atakapokuwa kiongozi serikali kufanya viongozi walio chini yake kuwa watiifu,wachapakazi na waaminifu. Mfano hayati Magufuru.
Nane,anatakiwa kushiriana na jamii inayomzunguka ili kufahamu changamoto walionazo;Hii itamsaidia kiongozi kutatua changamoto kwa muda muafaka na kujua wananchi wake wanahitaji nini au wana changamoto gani mfano kelo za maji,umeme,barabara n.k.
Tisa, anatakiwa kuwa mtu anaepinga ,kukemea na kuzuia rushwa;Rushwa ni adui wa haki,sehemi yeyote ile rushwa ilipo Kuna kiasi fulani cha maendeleo kinashuka.Jinsi rushwa itakavyokuwa kubwa ndivyo maendeleo yatakavyokuwa yakipolomoka au kudorora. Hivyo viongozi wanatakiwa kuwa na vigezo hivyo..
kumi,anatakiwa kuwa mchapakazi;ikiwa kiongozi akiwa ni mchapa kazi hata viongozi walio chini yake nao watakuwa ni wachapakazi lakini rais akiwa mzembe mambo yatakuwa ni tofauti mfano, rais Magufuri alikuwa ni mchapa kazi ndiposa taifa lilikuwa linachapa kazi na uchumi ukakuwa.
Kumi na moja, anatakiwa kuwa na hekima ya kuongoza watu;Hekima hizi zinatoka kwa mwenyezi Mungu.Zitakazomsadia kiongozi Huyo kuunganisha watu pamoja,kuwahimiza juu ya faida mbalimbali za kulipa Kodi,kuepuka vitendo vya uragai,rushwa na wizi. Mfano,hayati Magufuri.
Kumi na mbili, mtiifu;yaani haeshimu sheria na katiba ya nchi. Kuna viongozi ambao wanaopenda kukaa madarakani kwa muda mrefu mfano rais wa Russia ameka madarakani takribani miaka thelathini (30)mpaka sasa.Hao ni viongozi wanaovunja sheria inyomtaka kiongozi kuongoza kwa kipindi Fulani na baadaekuachia mamlaka.
Kumi na tatu,anatakiwa kuwa anajali bidhaa zinazozalishwa nchini zaidi ya zile zinazozalishwa nje ya nchi;Hii itasaidia nchi yetu kukua kwa sababu itapelekea wananchi kuwa wabunifu na kufanya kazi kwa bidii mfano wa bidhaa ni sukari,mafuta ya kura, sabuni n.k.
Kumi na nne, anatakiwa kujua lugha mbili;Moja kingereza na ya pili kiswahili. Kiswahili ni lugha ya taifa la Tanzania (lugha rasmi). Napo katika mataifa mengine Kuna lugha za Taifa Mfano Katika taifa la China wanaongea kichina,uingereza kingereza, Afrika ya Kusini kiingereza n.k. Hii itasaidia kuwasaliana vizuri na wananchi na Kwa urahisi.
Kumi na tano,anatakiwa kuwa mbunifu; Ambaye anaweza kubuni fursa mbalimbali za kimaendeleo mfano miradi itakayosaidia kutatua kelo mbalimbali za wananchi mfano miradi ya maji, umeme,barabara,mawasiliano,reli n.k.Hii itachochea maendeleo.
Kwa ujumla kiongozi bora anatakiwa kuwa mzalendo,vigezo vyote hivyo vinapatikana kwa kiongozi ambaye ni mzalendo.

Upvote
3