Umsikilizi Ziggy, juzi hapa kapata Grammy ya Album ya Fly Rasta. Damian anawika tu kwenye main stream music lakini Ziggy ni mchawi wa shows kama babake. Ni vile tu audience ya muziki wa sasa hawaelewi kabisa radha ya muziki mzuri.
NB: Hii haimaanishi Damian ni mbovu, hapa nawalinganisha big na young Marley brothers.
Ndiyomaana nikamnukuu Capleton akisema music is a mission not a competition.
Na kushinda tuzokwangumimisiubora, kuna rapper wa Gangstarr anaitwa Guru, pamoja na DJ Premier wamefanya kazikubwa, muziki mzuri, wenye message, wame elevate hip hop na kuweka msingimzuri sana.
Lakinihajapata award yoyote.
Kuwa na objective judgement kwenye muzikinijambo gumu, kwa sababu mtu anaweza kuwa na mahaba na mtu anavyovaa, anavyoonekana etc,au akapenda kitu chake, that doesnot mean muziki huo ndio bora.
Kwa mfano, mtu anaweza kusema kwamba Ziggy na Damian wote wana audiences zao, kwamba wazee wazee mnaopenda sana roots mkamuona Ziggy zaidi, wakati vijana wanaopenda mchanganyikowa roots na dancehall wakamuona Damian zaidi.
Hakijaharibika kitu.
Muzikiume evolve, familia imewakilishwa kila upande.
Ila mimibinafsi ukiniwekea Ziggy na Damian, Damian anakuwa juukirahisi sana.