Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Darmian Marley is the best
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hauko serious man unaongea vitu ambavyo havipo hawa watu ni hatari kuliko unavyodhaniNapenda muziki wa Reggae, lakini huko Carrebean kuna watu wako fire mpaka nakosa muda wa kuwasikiliza hao watoto wa Bob Marley. In short wote ni overrated tu, wanatembelea umaaarufu wa baba yao.
hauko serious man unaongea vitu ambavyo havipo hawa watu ni hatari kuliko unavyodhani
AiseeHii album (stonehill) imechukua the best reggae album, granny awards.
Sema Surname ya Marley inawabeba kwenye awards kibao..Hii album (stonehill) imechukua the best reggae album, granny awards.
True..marley brothers wanabebwa saana..Umsikilizi Ziggy, juzi hapa kapata Grammy ya Album ya Fly Rasta. Damian anawika tu kwenye main stream music lakini Ziggy ni mchawi wa shows kama babake. Ni vile tu audience ya muziki wa sasa hawaelewi kabisa radha ya muziki mzuri.
NB: Hii haimaanishi Damian ni mbovu, hapa nawalinganisha big na young Marley brothers.
Ndiyomaana nikamnukuu Capleton akisema music is a mission not a competition.Umsikilizi Ziggy, juzi hapa kapata Grammy ya Album ya Fly Rasta. Damian anawika tu kwenye main stream music lakini Ziggy ni mchawi wa shows kama babake. Ni vile tu audience ya muziki wa sasa hawaelewi kabisa radha ya muziki mzuri.
NB: Hii haimaanishi Damian ni mbovu, hapa nawalinganisha big na young Marley brothers.
Inaitwa as we enterAffairs of the Heart.... Bonge la ngoma! Jr gongYupo vizuri.
Kuna ile moja yupo na NAS katupia na kiswahili kidogo
Beautiful is lit 🔥, huu wimbo nimeuskiliza ikabidi nitafute Uzi jf nijarib ku' compare na songs nyingne zenye mahadhi ya namna yake.Write your reply...Acheni kumfananisha Damian Marley na vitu vya Kijinga
beautiful
Damien Marley ft Bob Brown