Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
Hatari sana sheikh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wahanga wa haya mambo tuko wengi...Jamani mizigo ina raha yake jamani, haswa kuiangalia....
Vuta picha binti kapanda, kama futi tano point nane,
juu mwembambaaa......
katikati ana bonge ya zigo, limewekwa ndani ya kipedo......
Mashalaaah,.......
huyu ustaadhi noumaaa nina kama video zake 3 za kusifia makalio na.wanawake... nikiwa bored huwa nazitazama
Chunga sana! ukishangilia sana video zake huyo jamaa unaweza kushtukia umepigwa ndoa ya mkeka!
Ukabadilishwa na jina!
Ukaitwa Mrs Remote!
huyu ustaadhi noumaaa nina kama video zake 3 za kusifia makalio na.wanawake... nikiwa bored huwa nazitazama
naskia kipozeo alkuwa mwalimu wa madraaatul pale temeke.. la haulaaa sidhani kama ulisalimika
We hapo juu unajifaragua mbele ya jukwaa kwa kusema kuwa una video zake 3! Na kila ukiskia tafrani unaburudika nazo!
Sasa unatujuza kuwa unafahamu mpaka sehemu anapofanyia kazi!
We kijana hii tabia ya kuwachunuku wazee sio nzuri!
Hayo mambo yako mpelekee yule mwenzako matola! Huyo jamaa huwa kasema kweny hio video yako kuwa KAOA! Usije miharibia ndoa yake!
Unanyonga kuino mchana kutwa lkn wateja hakuna! Jaribu kumuuliza Matola! Huwenda wateja anawajua!
Ana sema yeye kuoa binti,mwembamba asie na zigo wala hataki... Itokee tu.. Alfu mwenyezi,mungu anajua kuumbaa!! HATARI SANA SHEIKH...
Kisa??
DuuhJamani mizigo ina raha yake jamani, haswa kuiangalia....
Vuta picha binti kapanda, kama futi tano point nane,
Juu mwembambaaa......
Katikati ana bonge ya zigo, limewekwa ndani ya kipedo......
Mashalaaah,.......
Bila picha ? Si habari