Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,466
- 2,285
HahahahahNajua baada ya maelezo mengi na kuzimwagia sifa kemkem, kwenye umaliziaji utasema unazo na unauza kwa bei nafuu, huku ukiambatanisha na namba ya simu kwa mwenye atahitaji....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ipo pia. Ni muhimu ila siyo hitaji la lazima ikilinganishwa na faida nyingine. Kwa asilimia kubwa sana watu wanaugua magonjwa yasiyoambukiza ambayo husababishwa na mfumo wa maisha. Ukienda mahospitali hutakuta watu wamelazwa kwa kukosa nguvu za kiume, ila magonjwa mengine ambayo mbegu hizi matumizi yake hupunguza sana hatari ya kuyapata hayo magonjwa.Katika hizo faida zake,ikikosekana faida ya nguvu za kiume basi utakua unaliua soko wewe mwenyewe.😀😀
Duh! Hapana usiogope kihivyo. Hapa kuna suala la elimu nadhani ni muhimu zaidi halafu ukiwa interested basi utanijia tuu inbox na au utazinunua nzitakapokufikia mahala ulipo.Najua baada ya maelezo mengi na kuzimwagia sifa kemkem, kwenye umaliziaji utasema unazo na unauza kwa bei nafuu, huku ukiambatanisha na namba ya simu kwa mwenye atahitaji....[emoji23][emoji23][emoji23]
Duh! Hapana usiogope kihivyo. Hapa kuna suala la elimu nadhani ni muhimu zaidi halafu ukiwa interested basi utanijia tuu inbox na au utazinunua nzitakapokufikia mahala ulipo.
liyoyaandika. Ni tafiti zimebainisha haya. Halafu hizi ni njia za kuboresha afya zilizo salama kabisa kwa mlaji kwa kuwa haihusishi kemikali. Ni chakula cha asili ila kilicho tibalishe.Mtaua watu mara shia seed , mara mlonge seed, mara mwarobaini seed mtu mmoja dozi zote izo
Afu zote utasikia zinaleta hamu ya kula ,kuongeza nguvu ya kiume
If it isn’t perfect ,it’s not good enough