Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Mbali na kuharamisha mapenzi ya jinsia moja, Muswada huo unapiga marufuku kueneza na kuunga mkono vitendo vya Ushoga na Ushoga uliokithiri.
Ushoga uliokithiri unahusisha mapenzi ya jinsia moja na watu walio chini ya umri wa miaka 18, watu wenye Ulemavu, Wahalifu wa Mara kwa mara au wakati mhusika ana maambukizi ya VVU.
Muswada huo tayari umewasilishwa kwa Rais Yoweri Museveni ambaye anasubiriwa kuusaini ili kuwa Sheria.