Zijue adhabu za 'Ushoga' kwa Mujibu wa Muswada uliopitishwa na Bunge la Uganda

Zijue adhabu za 'Ushoga' kwa Mujibu wa Muswada uliopitishwa na Bunge la Uganda

Wewe umeelewa nini? Hata Ghana wanazunguka zunguka tuu
Hiyo ndiyo process ya kuoitsha mswada mkuu. Hajui tu mara moja na Rais akaanguka saini. Lazima aupitie kama kuna marekebisho anaurudisha bungeni kufanyiwa hayo marekebisho! Ndicho kikichojili kwa Museveni!
 
Museven kakimbia na karatasi la kusaini unaambiwa amepatwa na ugonjwa wa kutetemeka hataki kuonana hata na Wanae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

BICHWA KOMWE
 
Bora Museveni alipiga biti hadharani. Mama yetu hata kutamka anaogopa wazungu wasije kumnyima mikopo na misaada.

Museveni na Ruto wao waliongea hadharani, walitimiza wajibu wao.
Mama hakuongea lakini vip kuhusu subordinates wake wanavowashughulikia hao machoko... Mahakimu uko ni kumwaga mvua tu
 
Back
Top Bottom