Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Kumbe watu wa jinsia mmoja wanaweza kupata mtoto-nilikuwa sifahamu
Hivi kwa Tanzania Sheria inasemaje kabla sijaenda huko kwa Waganda
Wa kwanza ni nanMse7 akisaini atakuwa rais 2 afirika kumpiga marekani
Umesoma ukaelewa lakini? Unafikri miswada huwa inasiniwa kiholela hivyo unavyotaka? Unerudishwa bungeni ili kufanyiwa marekebisho kwenye kipengele cha rehabilitation tu ukirudi Museveni anaanguka mkono!Maskini hana Kauli ndio hii Sasa.Licha ya mbwembwe zote ila Mseveni amenywea Kwa Wazungu Mashoga..
Uganda’s President Museveni refuses to sign anti-LGBTQ bill
A spokesman says Museveni not opposed to bill’s punishments, but wants lawmakers to study ‘the issue of rehabilitation.’www.aljazeera.com
Mleta mada hajasoma akaelewa!Bora Museveni alipiga biti hadharani. Mama yetu hata kutamka anaogopa wazungu wasije kumnyima mikopo na misaada.
Museveni na Ruto wao waliongea hadharani, walitimiza wajibu wao.
Mbona Tanzania tumewafunga kabisa 😁😁Bora Museveni alipiga biti hadharani. Mama yetu hata kutamka anaogopa wazungu wasije kumnyima mikopo na misaada.
Museveni na Ruto wao waliongea hadharani, walitimiza wajibu wao.
Wewe umeelewa nini? Hata Ghana wanazunguka zunguka tuuMleta mada hajasoma akaelewa!