Zijue aina 9 za Wanawake wajinga

Zijue aina 9 za Wanawake wajinga

sky walker

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2018
Posts
1,160
Reaction score
831
1-Anyebadili jina Mitandaoni na kujiita majina ya watu Maarufu,huyo ni MJINGA.

2-Anaetoa Mimba kisha kulala na Midoli,huyo ni MIJNGA.

3-Anaedate na MUME wa mtu miaka nenda Rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo ni MJINGA.

4-Anaeweka nywere,Kucha,Kope, za BANDIA halafu akiambiwa umependeza anasema Asante, huyo ni MJINGA.

5-Anaebeba Minguo ya hawala yake na kwenda kufua hali akijua huyo ni MUME wa Mtu huyo ni MJINGA.

7-Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajiri ya BISHOO wa kwenda nae club huyo ni MJINGA.

8-Anetoroka kwao na kwenda guest kulala na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela, iliyobaki naenda kumpa Mke Wangu na akakubali huyo ni MJINGA.

8-Mwanamke ambaye hamiliki hata Kitanda, kisha anataka Mwanaume mwenye gari,huyo ni MJINGA.

9-Mwanamke anakwenda kwenye ibada huku amevaa sket fupi halafu njia nzima aniashusha ili Magoti yasionekane huyo ni MJINGA.

Ongeza na yakwako!!!!!!!
 
Na wale wanaazima vitu kwa watu ili waonekane kwa mademu kumbe siyo vyao na wanaishia kudhalilishwa na wenye navyo hao ni wajinga
 
Kwa hiyo huyo hapo kwenye picha ndio mfano wa mwanamke mjinga?
 
1-Anyebadili jina Mitandaoni na kujiita majina ya watu Maarufu,huyo ni MJININGA.

2-Anaetoa Mimba kisha kulala na Midoli,huyo ni MIJNGA.

3-Anaedate na MUME wa mtu miaka nenda Rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo ni MJINGA.

4-Anaeweka nywere,Kucha,Kope, za BANDIA halafu akiambiwa umependeza anasema Asante, huyo ni MJINGA.

5-Anaebeba Minguo ya hawala yake na kwenda kufua hali akijua huyo ni MUME wa Mtu huyo ni MJINGA.

7-Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajiri ya BISHOO wa kwenda nae club huyo ni MJINGA.

8-Anetoroka kwao na kwenda guest kulala na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela, iliyobaki naenda kumpa Mke Wangu na akakubali huyo ni MJINGA.

8-Mwanamke ambaye hamiliki hata Kitanda, kisha anataka Mwanaume mwenye gari,huyo ni MJINGA.

9-Mwanamke anakwenda kwenye ibada huku amevaa sket fupi halafu njia nzima aniashusha ili Magoti yasionekane huyo ni MJINGA.

Ongeza na yakwako!!!!!!!

37357281_1747330565304294_2916605333143027712_o.jpg
Inaonesha umepigwa cha mbavu na demu halafu demu amempenda mshikaji mwengine ,pole sana jikaze ndio uanaume huo.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Yajayo yanafurahisha
 
Hakuna binadamu mjinga... bali tunatofautiana mitazamo...

Kilichokua kwako cha ajabu, kwa mwingine ni kawaida...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom