Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1-Anyebadili jina Mitandaoni na kujiita majina ya watu Maarufu,huyo ni MJINGA.
2-Anaetoa Mimba kisha kulala na Midoli,huyo ni MIJNGA.
3-Anaedate na MUME wa mtu miaka nenda Rudi na kuwakataa wanaotaka kumuoa huyo ni MJINGA.
4-Anaeweka nywere,Kucha,Kope, za BANDIA halafu akiambiwa umependeza anasema Asante, huyo ni MJINGA.
5-Anaebeba Minguo ya hawala yake na kwenda kufua hali akijua huyo ni MUME wa Mtu huyo ni MJINGA.
7-Anaemkataa mwanaume anaetaka kumuoa kwa ajiri ya BISHOO wa kwenda nae club huyo ni MJINGA.
8-Anetoroka kwao na kwenda guest kulala na bwana na asubuhi anaambiwa hapa sina hela, iliyobaki naenda kumpa Mke Wangu na akakubali huyo ni MJINGA.
8-Mwanamke ambaye hamiliki hata Kitanda, kisha anataka Mwanaume mwenye gari,huyo ni MJINGA.
9-Mwanamke anakwenda kwenye ibada huku amevaa sket fupi halafu njia nzima aniashusha ili Magoti yasionekane huyo ni MJINGA.
Ongeza na yakwako!!!!!!!
night walker. mchana kulala usiku matembezi mpaka bar zifungweNa wanaume wanaojiita sky walker ni wa nini?
hahaaaaWe ni Mwanamke?